jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,011
Habari za mchana huu wana jukwaa?
Naomba mwenye kufahamu kuhusu kupatikana kwa cement mpya ya dangote atujuze tafadhali,
Mara ya mwisho nilipata habari kwamba ingeingia sokoni mwanzoni mwa mwezi huu wa january,sasa sina uhakika kama tayari iko sokoni au lah.
Pia kama kuna agent wake kwa hapa dar tafadhali ani pm kwa biashara zaidi.
Ijumaa Kareem.