Habari kwa mliofanya interview ya custom assistant naomba kufahamu ni maswali gani yametoka mimi sijafanya sababu nilipoteza kitambulisho cha taifa nina copy na lost report lakini wamekataa
Dah pole sana wenzio walikatwa 7bu hawajaweka picha kwny portal ww unaenda n copy ya ktambulisho. Hakuna kitu wapo serious nacho km ktambulisho.. Pole sna siku nyngine nenda na barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa