Simu ina mwaka mmoja tangu inunuliwe na
Inaoperate vizuri tu.
Ila kwa sasa betri yake imeshaanza kuchoka.
Naomba kujuzwa kama betri mpya za Hii simu zinapatikana.
NB: Nimeangalia kupitia utaratibu wa TCRA,
Hii haimo miongoni mwa zitakazozimwa mwezi Juni.
Nisaidieni upatikanaji wa betri.