I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 Jul 22, 2014 #1 Mwenye taarifa please, nataka kujua bei ya mawese na upatikanaje wake...
Sam 2013 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 484 Reaction score 492 Sep 27, 2014 #2 Bei ya mawese kwa kibondo ni shillingi 8,000 kwa Lita tano, maeneo ya kigoma vijijini kama kidahwe, ilagala na kalela bei ni rahisi zaidi ya hiyo niliyokutajia.
Bei ya mawese kwa kibondo ni shillingi 8,000 kwa Lita tano, maeneo ya kigoma vijijini kama kidahwe, ilagala na kalela bei ni rahisi zaidi ya hiyo niliyokutajia.
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Sep 27, 2014 #3 Huk nlipo mim manyovu bei ya 1l =1000 so ni wew tu kiongozi kufanya yaliyo yako karbu sana