Habari wadau!
Rafiki yangu yupo dissapointed sana anasema amepata GPA ya 3.4 kamaliza Compute Science degree anauliza kama anaweza kupata kazi kwa hizo grade maana anasema amesikia kwa watu kwamba bila Upper second kazi hapati.
Ushauri wenu muhimu wakuu.