Upatikanaji wa hizi battery

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,927
Reaction score
4,199
Natafuta moja wapo ya hizi battery hapo chini kwenye picha kwa ajili ya kureplace battery yangu ambayo hukaa na chaji sio zaidi ya masaa mawili hivyo nataka niongeze kutoka 3200mah hadi 3500mah au zaidi.

Nilipita Kariakoo sikufanikiwa kupata.
Je naeza kuzipata wapi hizi battery kwa hapa Dar.
Kama unazo niambie tufanye biashara.
Kuagiza siwezi nje ya nchi siwezi.



Sent using My Samsung Galaxy Note 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…