nimegoogle google hapa naona inverto ultra (series) wanaisifia sana. hebu nenda jukwaa hilo hapo juu la satelite waulize, sababu unaagizia online yoyote watakayo kushauri ni sawa.
njia za kufungua chanell ambazo zimefungwa. umewahi kuwa na dish la fta? kuna chanell huwa ukiplay zinaeka kialama cha dola $ then zinaandika scrambled, nyengine zinaandika no feed etc
ukiwa na receiver yenye biss key au power vu utaweza kufungua baadhi ya chanell.
nyingi ya hizi chanell zinazofungwa ni nzuri, ni chanell unakuta za mpira, movie kali kali, na vipindi vizuri.
sema nazo zinakuja na kuondoka, kuna kipindi watu walikuwa wanaangalia ligi ya uingereza bure kupitia mfumo huu.
nimegoogle google hapa naona inverto ultra (series) wanaisifia sana. hebu nenda jukwaa hilo hapo juu la satelite waulize, sababu unaagizia online yoyote watakayo kushauri ni sawa.