Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 537
asant sanaa mkuu dozi ni kwa muda gani na kutwa au kwa siku mara ngapi kwa muda gani?
Jaribu hiiMkuu asante sana kwa msaada wako ila nilishatumia vimenianza 2008 mpaka sasa navokwambia hakuna rangi ya dawa sijaona hasa hizi za asili ndomana nimefikia hitimisho kama kuna upasuaji wa hii kitu mnijuze tu na gharama zake pia maana gharama za hiyo miaka kama ningefanya upasuaji nahisi zisingefika
Nawaza tu baada ya mateso hadi kufikilia huduma ambazo labda hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Adui mkubwa wa Ulcers ni MAWAZO, ukiwa mtu mwenye mawazo na masononeko utaumwa weye hadi ujikatie tamaa,Mkuu asante sana kwa msaada wako ila nilishatumia vimenianza 2008 mpaka sasa navokwambia hakuna rangi ya dawa sijaona hasa hizi za asili ndomana nimefikia hitimisho kama kuna upasuaji wa hii kitu mnijuze tu na gharama zake pia maana gharama za hiyo miaka kama ningefanya upasuaji nahisi zisingefika
Nawaza tu baada ya mateso hadi kufikilia huduma ambazo labda hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bamia unazichemsha kisha unakunywa maji yake ama unakula Bamia zenyewe? Msaada kidogo hapo tafadhali.Adui mkubwa wa Ulcers ni MAWAZO, ukiwa mtu mwenye mawazo na masononeko utaumwa weye hadi ujikatie tamaa,
Badili Mfumo wako wa chakula kwa kuepuka kula vyakula vinavyochochea Acid tumboni,
Mawazo na Hasira vinachochea sana uzalishaji wa Acid,
Umetumia dawa nyingi sawa je hizo dawa umetumia kwa Muda gani? Maana wengi hutaka kutumia Dawa wiki mbili anataka awe amepona bila kujua ugonjwa aliokua nao niwa siku nyingi kwa maana hiyo na matibabu yake lazima yachukue muda mrefu,
Anza Dozi ya BAMIA, Bamia ni kiboko kwa Peptic Ulcers, ni simple dozi isiyo na gharama wala kupoteza Muda, unachukua Bamia zako unazikata kata vipande vidogo unachemsha kiasi unaweza kuweka chumvi kidogo kuleta ladha kisha unakunywa kikombe kimoja asubuhi mchana na jioni au asubuhi na jioni kila siku kwa miezi mitatu mfululizo baada ya hapo unaenda kupima, daktari lazima aone acid imepungua so unaweza kuendelea kwa miezi mitatu mingine,
NB: Ukianza kutumia Bamia utapata matokeo ya haraka usiache dozi kwa kujihisi umepona endelea kwa miezi hiyo mitatu.
Kwanini usivipotezee mm nilipima ikawa positive lakini nimevipotezea akili yangu nimeiambia kuwa sina ilo tatizo staki kusikilizia kinachoendelea mwilini and saiz nipo nipo t sijui ata naumwa nn najion Niko poa tu.lakini siku nikitulia nataka nirudie kupimaMkuu asante sana kwa msaada wako ila nilishatumia vimenianza 2008 mpaka sasa navokwambia hakuna rangi ya dawa sijaona hasa hizi za asili ndomana nimefikia hitimisho kama kuna upasuaji wa hii kitu mnijuze tu na gharama zake pia maana gharama za hiyo miaka kama ningefanya upasuaji nahisi zisingefika
Nawaza tu baada ya mateso hadi kufikilia huduma ambazo labda hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app