Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,077
- 2,164
Mkuu pole sana je umefanya operesheni ya vidonda vya tumbo vimejirudia tena?tangu lini kuna operesheni ya vidonda vya tumbo? Nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibu maradhi yako ya vidonda vya tumbo ili uweze kupona maradhi yako uguwa pole.Imejirudia
Sijawahi kufanyiwa upasuaji ila dokta kuna dawa nilishanunua kwako hapa jamatini dodoma nimetumia sana lakini wapi asa una dawa gani tena mkuuMkuu pole sana je umefanya operesheni ya vidonda vya tumbo vimejirudia tena?tangu lini kuna operesheni ya vidonda vya tumbo? Nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibu maradhi yako ya vidonda vya tumbo ili uweze kupona maradhi yako uguwa pole.
Mkuu asante sana kwa msaada wako ila nilishatumia vimenianza 2008 mpaka sasa navokwambia hakuna rangi ya dawa sijaona hasa hizi za asili ndomana nimefikia hitimisho kama kuna upasuaji wa hii kitu mnijuze tu na gharama zake pia maana gharama za hiyo miaka kama ningefanya upasuaji nahisi zisingefikaMkuu hebu jaribu hii kitu mm imenipa nafuu
Chukua
1. habat soda
2. Black seed ya unga
3. Tende kilo moja
3. Maziwa fresh
Cha kufanya ondoa mbegu kwenye tende , chemsha maziwa hadi yachemke
Chukua kijiko cha wali pima viwili unga wa habat na black seed halafu tende punje 20 ublend huu mchanganyiko
Utakuwa unakunywa glas moja kila kabla nusu saa ya mlo wako
Pia uzingatie masaa ya kula
Mkuu asante sana kwa msaada wako ila nilishatumia vimenianza 2008 mpaka sasa navokwambia hakuna rangi ya dawa sijaona hasa hizi za asili ndomana nimefikia hitimisho kama kuna upasuaji wa hii kitu mnijuze tu na gharama zake pia maana gharama za hiyo miaka kama ningefanya upasuaji nahisi zisingefika
Nawaza tu baada ya mateso hadi kufikilia huduma ambazo labda hazipo
Sent using Jamii Forums mobile app
mbegu ya parachichi inatumikaje mkuu mimi pia ni muhanga wa vidonda vya tumbo sina amani.Mkuu samahani lakini kama ntakukwaza maana umesema umeshatumia sana dawa za asili ila naomba nikuulize kipindi chote hicho umejaribu kutumia mbegu ya parachichi!!!? maana mimi pia nilikuwa muhanga wa huo ugonjwa
mbegu ya parachichi inatumikaje mkuu mimi pia ni muhanga wa vidonda vya tumbo sina amani.
Asante sanaa mkuu dozi ni kwa muda gani na kutwa au kwa siku mara ngapi kwa muda gani?unanunua parachichi kisha ile ibegu yake unaisaga vizuri alafu unaianika juani kisha unakuwa unakunywa kwenye chai au maji ya moto ambapo utakuwa unachota ule unga wake vijiko viwili au vitatu mimi imenisaidia sana pamoja na ndugu zangu