Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,076
- 2,161
Habari wakuu kuna huu ugonjwa unatesa wa vidonda vya tumbo nimetumia dawa za kila aina nahisi kuchoka,
Naombeni msaada wa kujua kwa hapa Tanzania kuna huduma za upasuaji wa vidonda vya tumbo,hospital hata za mkoa naweza pata huduma hio na gharama zake zikoje
Natanguliza shukrani
Note: Nahitaji gharama za upasuaji na sio dawa
Sent using Jamii Forums mobile app