1)Party ngapi zimetangazwa kabla ya mechi haijachezwa?Leta ushaidi, party Ni kawaida Sana yani
Na umbali unachangia,1)Party ngapi zimetangazwa kabla ya mechi haijachezwa?
2) kwanini mlivyoenda Sumbawanga haikutangazwa party kabla ya mechi kama party ni kawaida yenu?
3) kwanini mkitangaza party mkoani basi kwenye mechi yenu kuna kuwa magoli zaidi ya mawili kipindi Cha kwanza?
Simba ndio wanaoongoza kwa kupanga matokeo nchi hii...hii inafahamika vizuri na watu wanaojiita wa mpiraKukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.
Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.
1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.
2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.
3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.
Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
Anaona wivu kufungwa saba Coastal alitaka wafungwe waoYanga mliwahi kupigwa 4 acheni na wenzenu wapigwe mnataka mmepigwe nyinyi tu. huyu Simba ni mume wa kila timu
1.Kivip party inahusishwa na upangaji huo?!.Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.
Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.
1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.
2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.
3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.
Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
Hoja sio coastal kufungwa magoli mangapi. Hoja ni kwanini inapotangazwa Simba kufanya party mikoani aidha baada ya mechi ama kabla ya mechi, basi ni lazima Simba wapate matokeo ya magoli 4+ hapa uoni kama siri inayotangulia kabla ya mechi? Ni ngumu sana kuandaa party ikiwa hujui matokeo ya mechi itakuaje kwasababu endapo matokeo yatakuwa ni baada ni wazi washabiki hawatokuwa na morali ya kuudhulia party. Na hata ikiwa party itatangulia kabla ya mechi kisha mechi ikaisha pasipo kupata matokeo basi bila shaka mashabiki lazima watalaumu kwa kufocus katika party badala ya mechi.Yanga mliwahi kupigwa 4 acheni na wenzenu wapigwe mnataka mmepigwe nyinyi tu. huyu Simba ni mume wa kila timu
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.
Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.
1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.
2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.
3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.
Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
Simba baada ya kusafiri kwenda kwa Mtibwa, mechi iliyofuata alienda dodoma kucheza dhidi ya Jkt Tanzania hapa kabla hata pambano halijachezwa ilishatangazwa party? Je lengo la party ni lipi? Je party inawezaje kunoga kwa huku haujapata matokeo uwanjani? Hapa maanake uongozi wa Simba ulikuwa na asilimia mia moja ya nini kitatokea uwanjani. Hii hali ipo sawasawa na mechi ya coastal leo hii. Simba wanapata magoli 2+ ndani ya dakika 45 za kwanza. Kuna nini hapo?1.Kivip party inahusishwa na upangaji huo?!.
2.Je kufungwa kwa simba hakuwez kuwa upangaji wa matokeo pia?!..
3. Je simba sc hawatakiwi kushinda?!....
Lini ulisikia kwenye interview kocha anahojiwa kisha akatoa shutuma kuwa tumefungwa kwasababu ya timu ilipewa rushwa? Kwani kocha na wachezaji au marefa hawawezi kupewa rushwa ili wafungwe. Yaani wewe ndio akili matope kabisa huwezi kuufungua akili yako ipasavyo.Mbona utopolo mnakuwa na akili maandazi namna hiyo?
Unaweza kututhibitishia kuwa pre match party inaambatana na upangaji wa matokeo!?
Tuletee ushahidi usio na shaka kuwa kulikuwa na rushwa!
Hoja kuwa eti kukiwa na pre match party basi simba inapata goli za haraka kipindi cha kwanza,ni uzwazwa wa hali ya juu!
Hivi wewe unajua mpira zaidi ya kocha wao hao coastal? Je unakumbuks hao coastal washawahi pia kupigwa 8 na simba!?
Hujajibu maswari niliyo uliza!!Simba baada ya kusafiri kwenda kwa Mtibwa, mechi iliyofuata alienda dodoma kucheza dhidi ya Jkt Tanzania hapa kabla hata pambano halijachezwa ilishatangazwa party? Je lengo la party ni lipi? Je party inawezaje kunoga kwa huku haujapata matokeo uwanjani? Hapa maanake uongozi wa Simba ulikuwa na asilimia mia moja ya nini kitatokea uwanjani. Hii hali ipo sawasawa na mechi ya coastal leo hii. Simba wanapata magoli 2+ ndani ya dakika 45 za kwanza. Kuna nini hapo?
2) Kama party ni desturi mpya ya Simba pindi waendapo mikoani je kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo kwa party huko Sumbawanga? Au Sumbawanga hakuna washabiki wa Simba? Hapa unaona kabisa uongozi wa Simba hawakupata nafasi au mwanya wa kutembeza rushwa hivyo hawakuwa na uhakika na matokeo ya uwanjani.