Naskia anapasuliwa kidogo kwa chini ya uume halafu wanaweka kifaa ndani the wanashona hakiwezi kuonekana tena na mtu yeyote.Inamaana mtu unawekewa kidudu kipya cha Plastic au?
Kwani mkuu upungufu wa nguvu za kiume sio erectile dysfunction?hiyo huduma ni kwa ajili ya watu wenye matatizo kama erectile dysfunction yanayoharibu uwezo wa kusimamisha
sio kitu cha hiari
sasa sijui,Kwani mkuu upungufu wa nguvu za kiume sio erectile dysfunction?
ni kidude unawekewa ndani ya mfumo wa uzazi, unabonyeza pump, resevoir inajaza fluid kwenye cylinder(s) inasimamaInamaana mtu unawekewa kidudu kipya cha Plastic au?
Biashara imeishaMasikini yetu ni mundende kasongo nangai mkuyati chilisosi na tangawizi tu.
Umeonaeeehabari mbaya kwa maskini. Tajiri ataweza kupiga show ya kibabe na kisha kumpa mwanamke milioni tano ya salon. wanaume watafte pesa nguvu za kiume hata mloganzila zipo
Hapana wanasema haiathiri chochoteSasa ukiwekewa plastic utamu si utakua unausikia kwa jirani?
Hapo Cha Kwamba uume unauamria wewe usimame au ulale sijaelewa vizuri. Unauamuru kupitia nini Sasa? Sauti au hisia?Nimesikia kuwa suruhisho kuu kwa upungufu wa nguvu za kiume ni hii huduma ya kuwekewa visaidizi ktk uume. Kuliko kunywa madawa na kubugia vumbi kila siku.
Na wanasema pia asilimia za kulizika kati ya mke na mme ni 90-98% lkn pia kifaa hocho kina kaa miaka kati ya 10-15.
Lkn pia unaweza kufanya sex muda wowote unaotaka na unaweza kumwaga ukaendele kwa sababu uume unauamlia wew sasa usimame sasa ulale.
Na pia wanasema zipo aina tatu za visaidizi hivi.
One piece
Two pieces
Three pieces
Kwa tanzania nasikia kuna hiyo ya one piece na gharama zake ni 7,000,000 kwa tanzania.
Maswali ysngu ni haya
1. Kwanini gharama ni kubwa hivi??
2. Uhakika wa mafanikio ukoje?
3. Waliofanyiwa upandikizaji huwa au marafiki zao wanasemaje juu ya ufanisi na urahisi?
4. Kwa bei hiyo watanzania maskini watapata hiyo huduma kweli??
Nb naamini humu kuna madaktari wa hospital husika au wanauzoefu huo watatupa mrejesho vizuri maana tatizo limekuwa kubwa naamini tunakoelekea sasa ni watu kutumia vipandikizi ambavyo unasex kwa muda unaoutaka wewe.
Ukiona Huna cha kuchangia vema ukasoma tu ukapita
Naomba kuwasilisha.
Masikini huwa hawana hilo tatizo kutokana na kazi ngumu wazifanyazo na ugali mboga siyo chips yai.Nimesikia kuwa suruhisho kuu kwa upungufu wa nguvu za kiume ni hii huduma ya kuwekewa visaidizi ktk uume. Kuliko kunywa madawa na kubugia vumbi kila siku.
Na wanasema pia asilimia za kulizika kati ya mke na mme ni 90-98% lkn pia kifaa hocho kina kaa miaka kati ya 10-15.
Lkn pia unaweza kufanya sex muda wowote unaotaka na unaweza kumwaga ukaendele kwa sababu uume unauamlia wew sasa usimame sasa ulale.
Na pia wanasema zipo aina tatu za visaidizi hivi.
One piece
Two pieces
Three pieces
Kwa tanzania nasikia kuna hiyo ya one piece na gharama zake ni 7,000,000 kwa tanzania.
Maswali ysngu ni haya
1. Kwanini gharama ni kubwa hivi??
2. Uhakika wa mafanikio ukoje?
3. Waliofanyiwa upandikizaji huwa au marafiki zao wanasemaje juu ya ufanisi na urahisi?
4. Kwa bei hiyo watanzania maskini watapata hiyo huduma kweli??
Nb naamini humu kuna madaktari wa hospital husika au wanauzoefu huo watatupa mrejesho vizuri maana tatizo limekuwa kubwa naamini tunakoelekea sasa ni watu kutumia vipandikizi ambavyo unasex kwa muda unaoutaka wewe.
Ukiona Huna cha kuchangia vema ukasoma tu ukapita
Naomba kuwasilisha.
Kuna kijipampu kinawekwa kwenye korodani ukitaka kufanya ngono unakipampu uume unasimama dede ukichoka kufanya una minya pampu inasinyaaHapo Cha Kwamba uume unauamria wewe usimame au ulale sijaelewa vizuri. Unauamuru kupitia nini Sasa? Sauti au hisia?