Huyu mzee anayelala na kutoa udenda bungeni unatarajia atasaidia nini? katika kosa walilofanya wananchi wa vunjo ni kumchagua huyu babu kuwa mbunge!! Jimbo halina maendeleo yoyote barabara hakuna shule zimechakaa, maji mpaka mvua zinyeshe! yeye kazi yake kukimbizana na wanywa gongo basi na hata wenyewe amewashindwa wanamlia timing tu akija wanatulia akiondoka wanakunywa kama kawa!!Afadhali wangemchagua yule John mrema wa chadema hata yule jamaa wa ccm kuliko huu mzigo!!Jimbo la Lyatonga Mrema ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya bunge ya serikali za mitaa. Atatue hayo matatizo.
Huyu mzee anayelala na kutoa udenda bungeni unatarajia atasaidia nini? katika kosa walilofanya wananchi wa vunjo ni kumchagua huyu babu kuwa mbunge!! Jimbo halina maendeleo yoyote barabara hakuna shule zimechakaa, maji mpaka mvua zinyeshe! yeye kazi yake kukimbizana na wanywa gongo basi na hata wenyewe amewashindwa wanamlia timing tu akija wanatulia akiondoka wanakunywa kama kawa!!Afadhali wangemchagua yule John mrema wa chadema hata yule jamaa wa ccm kuliko huu mzigo!!
Mkuu Jimbo lina maendeleo lakini linazidi kurudi nyuma, nakumbuka kwenye miaka ya tisini maisha ya wanakijiji wa vunjo yalikuwa bora zaidi kuliko sasa, hata miundo mbinu iliyopa ni ile ya miaka ya sitini , kwa mfano ni aibu kwa wanavunjo kuwa na hospitali moja tu yenye hadhi, shule nyingi zilizopo jimboni hasa za sekondari hazifanyi vizuri na kwa barabara ndio usiseme.NI AIBU kwa wana vunjo kurudi nyuma kimaendeleo badala ya kusonga mbele ilkizingatiwa ya kwamba jimbo la VUNJO ndio lenye wasomi wengi kuliko eneo lolote mkoani KilimanjaroMkuu ukisema jimbo la vunjo halina maendeleo yoyote nadhani utakuwa unatukana. Ninaamini hata kama huyu mbunge hafanyi kazi lakini jimbo hili liko mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na majimbo mengine mengi.
piga ua..............................john mrema mbunge 2015
Madhara ya kuchagua wazee kuwa wabunge ,Vunjo mtajuta kwa kutomchagua jembe Crispin Meela
Wana vunjo wengi ni wanafiki!mmemuacha yule jamaa wa chadema mkampa Mrema eti siku akifa azikwe kama mbunge!kazi kweli!mtayavamia mahandaki hadi mshangae!Mrema anakula posho na kusinzia tuu bungenMkuu Jimbo lina maendeleo lakini linazidi kurudi nyuma, nakumbuka kwenye miaka ya tisini maisha ya wanakijiji wa vunjo yalikuwa bora zaidi kuliko sasa, hata miundo mbinu iliyopa ni ile ya miaka ya sitini , kwa mfano ni aibu kwa wanavunjo kuwa na hospitali moja tu yenye hadhi, shule nyingi zilizopo jimboni hasa za sekondari hazifanyi vizuri na kwa barabara ndio usiseme.NI AIBU kwa wana vunjo kurudi nyuma kimaendeleo badala ya kusonga mbele ilkizingatiwa ya kwamba jimbo la VUNJO ndio lenye wasomi wengi kuliko eneo lolote mkoani Kilimanjaro