saimon amos
Member
- Dec 31, 2018
- 16
- 7
Mshambuliaji wa mabingwa wa kihistoria Tanzania @heritier_ebenezer ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui Fc kutokana na kuwa na kadi tatu za njano.
Tofauti na inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Makambo yupo na hajatoweka kama wengi wanavyo sema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti na inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Makambo yupo na hajatoweka kama wengi wanavyo sema.
Sent using Jamii Forums mobile app