JOANNA
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 112
- 355
Watanzania hatujazoea kuona damu za watu wetu, ndugu zetu zinamwaga kiholela;huu sio utamaduni wetu. Pamoja tunakataa utawala wa unyanyasaji ,tunakataa utawala wa mabavu, utawala unaomwaga damu za ndugu zetu bila kujali.
Pamoja tunakataa utawala wa watu wasiofuatata katiba na sheria za nchi. Nyerere alisema Kiongozi yeyote asiye heshimu katiba na sheria za nchi ni dikteta. Zoezi zima la uchaguzi uliofanyika haukufwata sheria na katiba za nchi, hivyo tufike mahali tukubaliane katika haki kwamba uchaguzi huu ni batili.
Kama tunataka kujenga misingi ya amani na haki katika taifa letu haya mazugumzo hayakwepeki. Huu ni moshi kuufunika moto utawaka.
Tatizo kubwa tulilonalo sasahivi ni kuwa yeyote anayezungumza kweli anatekwa na kuuliwa.
Mnataka kuongoza taifa la watu wenye hofu, taifa la watu wanaoona kweli na kunyamaza, taifa la watu wanaoshindwa kutumia akili. They are forcing us to loose our brain cells to accept their oppression and that is unacceptable.
Tunakataa uongozi wa kidkteta, tunakataa ardhi yetu kufundishwa kunywa damu za ndugu zetu wenye haki, Tunakataa hiyo historia kuendelea juu ya ardhi ya Tanzania.
We refuse to be familiar with accepting the killings of our own people. The pattern of abduction and blood shed will not stand in the land of Tanzania. Ee Mungu utusaidie.
Mungu ibariki Tanzania