Natoa wito kwa wenye mapenzi mema na Chadema msijibu wala kuchangia thred hi ni ya kichokozi yenye lengo la provocation watu wakasirike watukane kuonyesha ushabiki wa kisiasa.Chadema wanauongozi hivi karibuni ulionenekana kufanya maamuzu yasiyo na busara kama vile kutomtambua JK kama raisi wa TZ baadae wakabadili mawazo na hivi karibuni kukaidi amri ya wanausalama, kwa picha hii kweli hiki ni chama cha kukiamini? hasa ukizingatia swafu ya viongozi na utaalam wao kama hivi;
M/kiti Mbowe ni DJ
Katibu Slaa ni Mchungaji
Kunakila sababu ya kukiepuka chama hichi kinachotumia kanisa kupata suport ya wananchi kila siku wachungaji wanashindwa na kujitokezakutetea mchungaji mwenzao
Kweli chadema inabidi ithibitiwe vinginevyo itatupeleka pabaya wa Tanzania
Natoa wito kwa wenye mapenzi mema na Chadema msijibu wala kuchangia thred hi ni ya kichokozi yenye lengo la provocation watu wakasirike watukane kuonyesha ushabiki wa kisiasa.

Chadema wanauongozi hivi karibuni ulionenekana kufanya maamuzu yasiyo na busara kama vile kutomtambua JK kama raisi wa TZ baadae wakabadili mawazo na hivi karibuni kukaidi amri ya wanausalama, kwa picha hii kweli hiki ni chama cha kukiamini? hasa ukizingatia swafu ya viongozi na utaalam wao kama hivi;

naunga mkono hoja.
Hii ni dalili nyingine ya chadema inayoonyesha hawana uwezo wa kufafanua na kujieleza zaidi wanaendeshwa na jazba pamoja na kukurupuka, nichama kilichoshindwa ku-draft au proposal ya katiba mpya zaidi ya kupiga makekelele na maandamano yasiyoeleweka
Tunapo suport chama wandugu lazima tuangalie uongozi wake wajuu kama wanauwezo, hekima na busara, hivi ni vitu adimu chadema, afterall, wanahatarisha nchi pamoja na wananchi
naungana nanyi, wenye mwelekeo wa dini-ni mufirisi wa mawazo-achaneni nao