Uongozi sio lelemama!

Salvatory Mkami

Senior Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
146
Reaction score
245
Haiwezekani kila kukicha kiongozi unalalamika badala ya kufanya maamuzi sahihi na kuwaonyesha njia wale unaowaongoza!

Wananchi walalamike, kiongozi ulalamike, Sasa hapo nani wa kuongozwa na nani, nani wa kumuongoza mwingine?!

Nakumbuka mwaka 1990 babu yangu aliwahi kuniambia kwamba: "Kuwaongoza wenye akili ni vigumu sana kuliko kuwaongoza wajinga" sikumwelewa kabisa lakini baadae nilipoelimika na kujua sifa za Kiongozi bora nilielewa alichokuwa akikimaanisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…