Utapatiwaje matokeo bila kulipa ada wewe? NECTA usipolipia hela ya mtihani hata kama umelipa michango ya shule watashikilia matokeo hadi ulipe!hizi barua wanaandka wale walolipa ada na michango mingne....lakn kama umelipa michango mingne bila ada hupatiwi matokeo
Mkuu mosi tambua kuwa mimi ni raia huru ninayesema uhalisia wa mambo wala sina mafungamano yoyote na UDOM ila kesi zenu wanafunzi wa vyuo nyingi nimewahi kukutana nazo, kama ingekuwa uonevu ulio wazi ningeungana nawe kuukemea ila hapa sijaona uonevu zaidi ya kukuona mpiga majungu tu kwa taasisi hiyo. Sijawahi na sitegemei kama nitakuja kuwa mwanajumuia wa UDOM either kwa kusoma hapo au kuajiriwa.umeelewa nilichokiandika?? au umejibu kutokana na mihemko yako kwa sabab ww ni staff wa udom???
nmekwambia chuo hakikumuombea ada bodi ,afu ww unakuja kusema et hakusain ada sasa atasain nn na jna halijaja?
pili unasema bodi haikatai kulipa unaujua utaratbu wa malipo kutoka bodi???? hebu acha mihemko kama hujui unachokizungumza
?