UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

UONGOZI MKUU WA UDOM ACHENI UONEVU HUU

Joined
Sep 20, 2018
Posts
21
Reaction score
4
Habari
kama heading ilivo hapo kumekuwa na sintofahamu kadhaa kwa wanafunzi wa udom kuhusu
michango kupanda kila siku,
Hostels za chuo kuwa na vyoo vibovu,
maji kukatika kwa mda mrefu,
Gharama za direct cost kupanda bila sababu maalumu, na mengine mengi

lakn hii sasa ndo kubwa kuliko yaan UONGOZI WA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) kimezuia matokeo kwa wanafunzi wote wanaodaiwa ada. sipingi hilo lakn naona wamefanya maamuz ya ghafla mno kwa sababu kuna watu wao huwa wanalipiwa ada na BODI YA MIKOPO lakn nao matokeo yao yamezuiliwa.

nina mdogo angu kamaliza hapo udom mwaka huu yy wamezuia matokeo yake kwa sabab bodi ya mikopo haikumlipia ada ya mwaka wa kwanza., kaenda bodi kaambiwa kwamba CHUO HAKIKUKUOMBEA ADA. akirudi chuon nao hawana majibu ya kueleweka.....na alipokuwa mwaka wa kwanza alikuwa akienda kwa uongoz wa chuo kuripoti kwamba haoni jna lake kwny sheet za ada, wanamrudisha kwa viongoz wa wanafunz(mawaziri) hvyo ikawa ni kurushiana mpira SASA KWA NN CHUO KINAZUIA MATOKEO WAKAT KOSA SIO LA MWANAFUNZI?

Na ikumbukwe kwamba dogo kazuiliwa matokeo na mitihan ya sap inaanza mwez huu sasa mtu hajui kama ana sap au lah yan yuko njiapanda,haya ikitokea ana sap na hajaifanya (kwa sababu hajui matokeo yake) basi ndo anakuwa kadisco..

Tafadhalini jaman kama kuna kiongoz yyte mwenye mamlaka hapa naomba alishughulikie hl jambo , pia UDOM kuna uozo mwingi unafanyika chn kwa chini tfadhali viongozi hebu fanyen hata ziara ya kushtukiza mtajua mengi.

Mwalimu majaliwa kassim majaliwa
ndalichako Mb
 
Concern yako ni huduma mbovu na kupanda kwa gharama za baadhi ya malipo kwa UDOM au ni kwa sababu mdogo wako wameshikilia matokeo yake kwa sababu ya hajalipiwa ada na bodi?

Tunaaminije kama kushikiliwa kwa matokeo ya mdogo wako ndio driving force ya kuleta vijihoja vingine ili upate support finally uonewe huruma?

Kwa nini usituambie kuwa awali gharama ya kitu hiki ilikuwa hivi saivi ni kiasi kadhaa, awali mchango huu haukuwepo saivi umeanzishwa ili kuonesha uhalisia wa hoja zako?

Unaloliita kubwa kuliko. Ni chuo gani ambacho wenyewe wanatoa matokeo bila mwanafunzi kulipa ada? Wasipofanya hivyo ili kuwashinikiza walipe ada, chuo kitapata wapi pesa ya kujiendeshea?

Na huo uozo unaofanyika chini kwa chini, je kuna sehemu ulishawahi kuusemea au kwa kuwa matokeo yameshikiliwa ndio sababu unasema kuna uovu wa chini kwa chini? Na kama upo kwa nini usiuseme ili kujustfy uhalisia wa hoja yako?

Kumbuka pia wanafunzi wengine huwa wanajisahau kusaini ada na hivyo kupelekea ada zao kutolipwa na yakitokea kama haya ndio kizaaa kinaanzia hapo. Je kama ilikuwa mwaka wa kwanza kwa nini hakushughulikia alipokuwa mwaka wa pili au wa tatu kabla hata kufika mwishoni hivi? Na kwa nini alirelax hadi leo hata kama alijaribu kufuatilia kidogo kama ulivyosema.

Presha ya kushikiliwa matokeo na mda umekaribia wa sup ndio imemuamsha vinginevyo alikuwa radhi chuo kikose mapato yake.

Kwangu kubwa kuliko ni kwamba dogo afuatilie tu alipokosea atatue tatizo lake maana kama alikuwa mnufaika wa bodi huwa hawakatai kulipa kama kuna ada hawakukulipia lakini kushikiliwa kwa matokeo ya mdogo wako isije kuwa unatafuta vijisababu vingine vya kukichafua chuo ili uonewe huruma. Scenario kama yako huwa zinatokea na huwa zinatatuliwa kwa kufuatilia kwa bodi au kushirikiana na loan officer wa chuo!
Ukweli daima humweka mtu huru!
 
ninyi ndio mnaotakiwa kuchapwa viboko na Mkuu wa Mkoa
kwanini usilipe Ada, wewe umejuaje hayo yote km sio wewe muathirika? na Boom lote ulikula
watoto wa form 5 na 6 wamefukuzwa Sekondari mpaka wachangie mabweni yaliyochomwa na mmojawao
Sheria ni msumeno UDOM sasa imenyooka hakuna migomo wala aandamano ninyi watoto wa .com mfuate Sheria kwani ukipata Matokeo UME DISCO hutalipa hiyo ADA
 
mkuu walisema kama atakuwa hajafanikiwa kuona matokeo kabla mda wa supplementary basi ataandika barua kisha chuo kitawafanyia mpango na si kudico
Screenshot_20191005-214746.jpeg
 
umeelewa nilichokiandika?? au umejibu kutokana na mihemko yako kwa sabab ww ni staff wa udom???

nmekwambia chuo hakikumuombea ada bodi ,afu ww unakuja kusema et hakusain ada sasa atasain nn na jna halijaja?

pili unasema bodi haikatai kulipa unaujua utaratbu wa malipo kutoka bodi???? hebu acha mihemko kama hujui unachokizungumza

?
Concern yako ni huduma mbovu na kupanda kwa gharama za baadhi ya malipo kwa UDOM au ni kwa sababu mdogo wako wameshikilia matokeo yake kwa sababu ya hajalipiwa ada na bodi?

Tunaaminije kama kushikiliwa kwa matokeo ya mdogo wako ndio driving force ya kuleta vijihoja vingine ili upate support finally uonewe huruma?

Kwa nini usituambie kuwa awali gharama ya kitu hiki ilikuwa hivi saivi ni kiasi kadhaa, awali mchango huu haukuwepo saivi umeanzishwa ili kuonesha uhalisia wa hoja zako?

Unaloliita kubwa kuliko. Ni chuo gani ambacho wenyewe wanatoa matokeo bila mwanafunzi kulipa ada? Wasipofanya hivyo ili kuwashinikiza walipe ada, chuo kitapata wapi pesa ya kujiendeshea?

Na huo uozo unaofanyika chini kwa chini, je kuna sehemu ulishawahi kuusemea au kwa kuwa matokeo yameshikiliwa ndio sababu unasema kuna uovu wa chini kwa chini? Na kama upo kwa nini usiuseme ili kujustfy uhalisia wa hoja yako?

Kumbuka pia wanafunzi wengine huwa wanajisahau kusaini ada na hivyo kupelekea ada zao kutolipwa na yakitokea kama haya ndio kizaaa kinaanzia hapo. Je kama ilikuwa mwaka wa kwanza kwa nini hakushughulikia alipokuwa mwaka wa pili au wa tatu kabla hata kufika mwishoni hivi? Na kwa nini alirelax hadi leo hata kama alijaribu kufuatilia kidogo kama ulivyosema.

Presha ya kushikiliwa matokeo na mda umekaribia wa sup ndio imemuamsha vinginevyo alikuwa radhi chuo kikose mapato yake.

Kwangu kubwa kuliko ni kwamba dogo afuatilie tu alipokosea atatue tatizo lake maana kama alikuwa mnufaika wa bodi huwa hawakatai kulipa kama kuna ada hawakukulipia lakini kushikiliwa kwa matokeo ya mdogo wako isije kuwa unatafuta vijisababu vingine vya kukichafua chuo ili uonewe huruma. Scenario kama yako huwa zinatokea na huwa zinatatuliwa kwa kufuatilia kwa bodi au kushirikiana na loan officer wa chuo!
Ukweli daima humweka mtu huru!
 
ninyi ndio mnaotakiwa kuchapwa viboko na Mkuu wa Mkoa
kwanini usilipe Ada, wewe umejuaje hayo yote km sio wewe muathirika? na Boom lote ulikula
watoto wa form 5 na 6 wamefukuzwa Sekondari mpaka wachangie mabweni yaliyochomwa na mmojawao
Sheria ni msumeno UDOM sasa imenyooka hakuna migomo wala aandamano ninyi watoto wa .com mfuate Sheria kwani ukipata Matokeo UME DISCO hutalipa hiyo ADA
naona hujui unachoandika cool down inaonesha una shda kwny processing ability yako,,,,? ungekuwa ushawahi hata kusomea certificate nngekujibu ila wacha nkae kmya
 
mkuu walisema kama atakuwa hajafanikiwa kuona matokeo kabla mda wa supplementary basi ataandika barua kisha chuo kitawafanyia mpango na si kudicoView attachment 1224592
halafu kama hujui mkuu, office ya raisi haina saut yyte pale udom na hiz barua wengi wameandka ila hakuna ktu kwa sabab barua znaenda kwa uongoz wa wanafunz ila matokeo yako na uongozi wa chuo yaan VICE COUNCELLOR
 
Naona makamu mkuu wa chuo kakujibu hapo kwenye post #3
 
ndo mana nimemwelewesha maana anaitetea staff yake akat imejaa madudu tupu
wewe ni Mwanachuo, na umefeli unataka kusingizia mdogo wako
kwa elimu yako ya Chuo ndio uelewa wako umegota hapo
Kwanini usilipe, hakuna cha bure wala migomo, mm nipo jirani hapo kwenye Wizara nawajua sana vilaza nyie
 
Mkuu

Haijalishi kuwa ni yeye au ni mdogo waje.. Jaribu kujikita katika hoja.. Haswa iliyozungumziwa kwenye uzi... Hata kama ni yeye then what??

Hii ni platform ya great thinkers.
 
ameshajibiwa Swala ni kulipa Ada, unajua ukipewa matokea umefeli (DISCO) atalipa?
halafu inaonesha km mnajua majibu kwa hiyo mnakuja jutusanifu TUWAJIBUE sasa
haya mambo sio ya Great Thinker hata kidogo
na barua mmewekewa bado hamtaki ukweli?
 
kilaza babako
 
tatzo hujaelewa post yangu we unakurupuka tu kisa unatetea kibarua chako
 
huyu ni mmojawapo wa wafanyakazi pale udom ndo mana anajitahd kutetea uozo
Mkuu

Haijalishi kuwa ni yeye au ni mdogo waje.. Jaribu kujikita katika hoja.. Haswa iliyozungumziwa kwenye uzi... Hata kama ni yeye then what??

Hii ni platform ya great thinkers.
 
huyu ni mmojawapo wa wafanyakazi pale udom ndo mana anajitahd kutetea uozo
ninyimnatakiwa viboko tu
msomi anadanganya mdogo wako halafu Great Thinker PAPAA MUKULU DON tuna kizazi kweli hapo, mkopo mpewe mkatumbue eti muoneshwe matokeo kwanza ndio mlipe
 
Naona makamu mkuu wa chuo kakujibu hapo kwenye post #3
Nimecheka sana mkuu kwa comment hii, eti makamu mkuu wa chuo .....!

Scenario hizi mkuu huwa zinatokea mtu anashindwa kusema hoja yake moja kwa moja anaamua kuzushia jambo jingine ili apate uungwaji mkono hasa akiona hoja yake haina nguvu sana.

Binafsi sina uhusiano wowote na UDOM ila tu ninachopenda ni kuwa ukweli usemwe kama kuna sehemu inahitaji marekebisho basi ishughulikiwe sio kuzushia jambo ili unufaike kwa interest zako binafsi huku ukichafua wengine. Kama ni siasa basi hizi siasa za maji taka!
 
Back
Top Bottom