donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Wikipedia hata wewe uki-subscribe tu unaweza kuweka chochote ukipendacho. Hivyo usiiamini kwa 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa mkuu lakiniMkuu ingia hata wewe hapo Wikipedia weka hiyo dini yako iwe 95% sio tatizo wamekupa hiyo fursa
Bahati nzuri / mbaya, sensa za Ofisi Kuu ya Takwimu Tanzania haijafanya zoezi la kuhesabu na kujua dini na imani za wa-Tanzania tangu wakati Tanzania ikiwa na idadi ya watu milioni 9.Naelewa mkuu lakini
Inakataa nilishajaribu nikaweka unknown wamefuta jaribu wewe
Kingine mamalaka zetu ziko wapi kuona kama data za nchi zinawekwa za hovyo inatakiwa wakemee
wako sahihi
Hahahaaa....ulitaka kuweka Islam 65%?
Weka 100% itakubari Mkuu.
Sisi katoliki idadi tunayo kila mwaka kuna sensa kijimbo kikanda parokia mpaka jumuiya ndogondogo tena hii ni kwa waumini Hai yaani waotambulika so na nyie mfanye sensa zenu sio kutokwa mapovuWako sahihi kivipi mbona mnaongea kama vile mmetoka usingizinj hatujawahi hesabiwa kwa dini zetu sasa mnasemaje wako sawa
Takwimu ni taaluma za watu. chanzo cha data sio sensa pekee.
Sisi katoliki idadi tunayo kila mwaka kuna sensa kijimbo kikanda parokia mpaka jumuiya ndogondogo tena hii ni kwa waumini Hai yaani waotambulika so na nyie mfanye sensa zenu sio kutokwa mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA wana namna yao ya kupata data. Vyombo vya ndani vinaposhindwaga uchunguzi wa mauaji au chochote huita vyombo vya nje huku muda ukiwa umeenda sana. Kwa hiyo wao watakuwa na namna yao ya kupAta data.Upotoshaji pia ni taaluma za watu sio takwimu pekee
CIA wana namna yao ya kupata data. Vyombo vya ndani vinaposhindwaga uchunguzi wa mauaji au chochote huita vyombo vya nje huku muda ukiwa umeenda sana. Kwa hiyo wao watakuwa na namna yao ya kupAta data.
HAYA NI MAMBO YA KITAARAMU SANA MWANANGU
Kitaalamu.CIA wana namna yao ya kupata data. Vyombo vya ndani vinaposhindwaga uchunguzi wa mauaji au chochote huita vyombo vya nje huku muda ukiwa umeenda sana. Kwa hiyo wao watakuwa na namna yao ya kupAta data.
HAYA NI MAMBO YA KITAARAMU SANA MWANANGU
Mleta mada naona wengi hawajakuelewa bado!! Mleta mada kauliza kua in Tanzania watu hawahesabiwi kwa dini zao,sasa hao CIA wamepata wapi hiyo accurate figure?Hahaha pumba hizi....tumeshalishwa siku nyingi wao kwani wameombwa na serkali yetu watusaidie data hizo!!??
Wikipedia siyo chanzo bora cha kufanyia rejea maana kesho unaweza kuta idadi yetu tunao amini matambiko ya babu zetu ikawa asilimia 95, na asilimia iliyobaki ni dini za kuja kwa merikebu na majahazi .
Hivyo usihangaike na takwimu za Wikipedia nenda BAKWATA ,TEC, KKKT /ELCT, AICT, SDA, FGCT, ACT n.k kama unataka kujua idadi ya takwimu sahihi za waumini wao.
Mleta mada naona wengi hawajakuelewa bado!! Mleta mada kauliza kua in Tanzania watu hawahesabiwi kwa dini zao,sasa hao CIA wamepata wapi hiyo accurate figure?