shokoshugi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2015
- 333
- 565
Tukienda moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi ,Baada ya magufuli kufanya anachofanya kumekua na dhana imeibuliwa na wanaukawa wengi tena wachambuzi maarufu kabisa humu jamvini wakisema Mr rais anaiga ilani ya UKAWA kitu ambacho ni upotishaji mkubwa sana , katika kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi kwenye nafasi ya Raisi muheshimiwa magufuli alijikita katika kupambana na ufisadi na akaahidi mpaka mahakama ya mafisadi , hivyo ufisadi ikawa agenda yake kuu , upande wa ukawa wao ufisadi hawakuuweka mbele sana hata mgombea wao alipohojiwa na BBC na kuulizwa kuhusu atakavyoshughulikia ufisadi mkubwa hakua na jibu , nakumbuka sera kubwa ya UKAWA ilikua ELIMU ELIMU ELIMU pia mheshimiwa lowassa akaongezea kidogo kua mwenye mbuzi mmoja atakua nao wawili , anaekula mlo mmoja atakula miwili nakadhalika nakadhalika .leo magufuli anaanza kutekeleza Sera zake za kuwashughulikia mafisadi wana UKAWA wanaanza kutupotosha kua anafuata ilani yao . wito kwa wana UKAWA tukubali tu kua kwa bahati nasibu au mpango wa Mungu tumepata raisi wa ndoto zetu AMEN
Ha ha ha. Nani angefanya hivyo, huyu huyu Lowassa? Endelea kuzungusha mikono na kuropoka mabadilikoooo... hadi misuli itauma; na utaacha, nina uhakika.ILANI YA UKAWA.ndani ya serikali walikuwa wanampango wa kufumua huo mfumo wa JK NA CCM POLICE ELIMU pamoja na MIUNDO MBINU NANI YA SERIKALI.sema magufuri kaingia kichwa kichwa bila mpango yatamshinda kwasababu ndani ya ccm hakuna wasomi na wanategemea J makamba na mwingulu .
swissme
Ha ha ha. Nani angefanya hivyo, huyu huyu Lowassa? Endelea kuzungusha mikono na kuropoka mabadilikoooo... hadi misuli itauma; na utaacha, nina uhakika.
Hujawahi kusikia watu wanasema misuli inaniuma? Wewe kibwengo ni shida kweli kweli. Sasa, hebu fanya hivi: zungusha, zungusha zungusha mikono halafu ropoka mabadilikoooo....Lowassa, Lowassa..... Ha ha ha, aisee.MISURI:HITAUMWA.go back to school.
swissme
Tukienda moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi ,Baada ya magufuli kufanya anachofanya kumekua na dhana imeibuliwa na wanaukawa wengi tena wachambuzi maarufu kabisa humu jamvini wakisema Mr rais anaiga ilani ya UKAWA kitu ambacho ni upotishaji mkubwa sana , katika kampeni za kuomba ridhaa ya wananchi kwenye nafasi ya Raisi muheshimiwa magufuli alijikita katika kupambana na ufisadi na akaahidi mpaka mahakama ya mafisadi , hivyo ufisadi ikawa agenda yake kuu , upande wa ukawa wao ufisadi hawakuuweka mbele sana hata mgombea wao alipohojiwa na BBC na kuulizwa kuhusu atakavyoshughulikia ufisadi mkubwa hakua na jibu , nakumbuka sera kubwa ya UKAWA ilikua ELIMU ELIMU ELIMU pia mheshimiwa lowassa akaongezea kidogo kua mwenye mbuzi mmoja atakua nao wawili , anaekula mlo mmoja atakula miwili nakadhalika nakadhalika .leo magufuli anaanza kutekeleza Sera zake za kuwashughulikia mafisadi wana UKAWA wanaanza kutupotosha kua anafuata ilani yao . wito kwa wana UKAWA tukubali tu kua kwa bahati nasibu au mpango wa Mungu tumepata raisi wa ndoto zetu AMEN
kwani ukawa wapo?siwasikiii walijitahidi kugombea maiti ili wapate media coverage pia haikuwasaidia..habari ya mjini ni Magufuli tu..
elim elim elim elim alijua ukawa elimu ndogo anaona elimu kubwa ipo ccm
Hujawahi kusikia watu wanasema misuli inaniuma? Wewe kibwengo ni shida kweli kweli. Sasa, hebu fanya hivi: zungusha, zungusha zungusha mikono halafu ropoka mabadilikoooo....Lowassa, Lowassa..... Ha ha ha, aisee.
tulia magufuli awape vidonge vyenu nyie ccm. na mwaka huh lazma mtaisoma namba
tulia magufuli awape vidonge vyenu nyie ccm. na mwaka huh lazma mtaisoma namba
Wakupe ILANI YA UKAWA? Gamba wewe lazima mkubali panapo semwa ukweli na hiko wapi ILANI YA ccm?kajipange tena.
swissme
elim elim elim elim alijua ukawa elimu ndogo anaona elimu kubwa ipo ccm
Ni muda wa kujenga nchi sio wa kulumbana kichama. Kilicho bora kwa nchi kinafanyiwa kazi bila bila kujali kimetoka chama gani. Mwisho wa siku tanzania ndio mshindi. Ila kama bado unasisitiza, Watanzania wengi walichagua mabadiliko (ukawa) , na bahati nzuri JPM naye anataka mabadiliko. Wanaomchukia JPM ni wana ccm wasiotaka mabadiliko pamoja na washirika wao wa ufisadi. Tuungane rais atekeleze matakwa ya wengi.