Acha kushangilia kama umeshapata hizo tuzo, hadi sasa ni = DIAMOND TUZO 16 za KTMA kimataifa 12 hapo ni nje ya tuzo za heshima Huyo nani sijui munamuhitaje wenyewe sijui mlinzi wa tembo KTMA ni 8 na za nje = ??????????? Nyongeza ni kwamba hadi sasa wasanii wa TZ waliowahi kuwa nomineted ni wengi kwa uchache tu ni ; A. Y, Jide,Peter Msechu, Mrisho Mpoto,Khadija koppa, Ommy dimpoz na huyo mlinzi wetu bila kumsahau wakuwanyoosha the icon DIAMOND NI YEYE PEKEE NDIYE ANAYEZICHUKUA SI 1, WALA 2 NI KAWAIDA KWAKE NA SI BREAKING NEWS.Waswahili wanasema ukisikia mamaaaa ujue limempata mtu.
Huyu waliemtukana na kumuita majina mabaya mengi mara msanii local leo hii kawa ni jinamizi linalowatesa mashabiki wa msanii wa kimataifa.
Tuzo za watu na Kill awards walilamika wamehujumiwa na fulani kabebwa tena wakafika mbali kuwa Eti kuna mpango wa kumshusha msanii wao kwa hila na fitina.
Baada ya kupigwa kwa tuzo 6-2 kwenye KTMA wakasema kwa jeur eti hizo ni tuzo local hivyo ndio hadhi ya kiba so kiba ataishia tuzo local za ndani tu huko nje hamjui.
Heeeh! Mambo yamegeuka sasa msanii local kiba kawapandia hadi huko huko kila tuzo ya kimataifa kiba yupo sasa wameanza kulia tena juna hujuma zinafanyika hadi huko nje hahahhaha
Acha kushangilia kama umeshapata hizo tuzo, hadi sasa ni = DIAMOND TUZO 16 za KTMA kimataifa 12 hapo ni nje ya tuzo za heshima Huyo nani sijui munamuhitaje wenyewe sijui mlinzi wa tembo KTMA ni 8 na za nje = ??????????? Nyongeza ni kwamba hadi sasa wasanii wa TZ waliowahi kuwa nomineted ni wengi kwa uchache tu ni ; A. Y, Jide,Peter Msechu, Mrisho Mpoto,Khadija koppa, Ommy dimpoz na huyo mlinzi wetu bila kumsahau wakuwanyoosha the icon DIAMOND NI YEYE PEKEE NDIYE ANAYEZICHUKUA SI 1, WALA 2 NI KAWAIDA KWAKE NA SI BREAKING NEWS.
Katika hao watz waliokuwa nominated nje je kuna hata mmoja aliwahi angalau kubeba tuzo 6 kwa usiku mmoja?
Usifananishe visivyofanana utaibika, Kiba ni moto mwingine.
pia anaongoza kwa kuiba watotoMoto wa kuotea mbali wapi alishawahi beba izo tuzo 6 n hamna msanii wa Africa amewahi beba tuzo 6 ktk tuzo za kimataifa hayo mambo yapo uko ulaya wakina Taylor swift, Adele, Beyonce ndo wanabebaga 6+ awards kwa tuzo za Tanzania Diamond tu ndo anaogoza kwa kubeba tuzo nyingi ktk ucku mmoja
dude wa bongo movieNani anaogoza kwa kutia mimba n kuacha wanawake za watu
kedrick we una taabu sana ujue kama huyo icon wako mbona habari unapendelea lete habari zote hadi za kuzinguliawa na wizkid kupiga pic naomba ulete picha ya daimond akiwa na wizkid na mm nikupe ya kiba na wizkid sifa mwisho tandale ataumbuka sana huu mwaka
To be nomited it z gud but he must learn to speak truth
sawa anajuana na domo lete picha wako pamoja hapa davido mwenyewe kazinguliwa na wizkidWizkid hata kibakuli hamjui
kwani ndo ulivyoniuliza au ???Mwimbaji wa bongo fleva