GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
"Nina akili kuliko wakufunzi wangu wote, maana Shuhuda Zako ndizo nizifikirizo"Akili zako zipo sawa!?
huu kwel ni uongo mkuu kama walinzi walilala walijuaje ni wanafunzi wake ndo waliokuja kumwiba?""............pili walinzi walihatarisha kazi yao kwa rushwa kwa kukubali kuwa walilala katika lindo lao.Naamini huu uongo ulitia fora:
"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu. Malaika akajibu,vakawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema...
Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliiingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa, na neno hilo likaenea kati ta Wayahudi hata leo".
Alifufuka, akaonana na wanafunzi Wake, Akala nao, akawausia, kisha akapaa kwenda Mbinguni wanafunzi Wake wakimwona.Kwamba yesu hakukufuka? Huenda kweli hakufufuka kimwili ila jiroho yesy naona kabisa yuko hai hata sasa ni mwalimu asiye na kifani njia kweli na uzima na ameketi kwa Mungu..muige tabia zake ustawishe nafsi yako
Mkuu, hii habari ni kubwa ni sehemu gani yenye uongo?Naamini huu uongo ulitia fora:
"Hata sabato ilipokwisha,ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi. Na Tanzania, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia. Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji. Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu. Malaika akajibu,vakawaambia wale wanawake, Msiogope ninyi; kwa maana najua mnamtafuta Yesu aliyesulibiwa. Hayupo hapa, kwani amefufuka kama alivyosema...
Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliiingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka. Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi, wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala. Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi. Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa, na neno hilo likaenea kati ta Wayahudi hata leo".
"... Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala..."Mkuu, hii habari ni kubwa ni sehemu gani yenye uongo?
Kwamba walikua wamelala, lakini wakajua kua wanafunzi walikuja kumuiba ππππ"... Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala..."
Walikuwa wamelala lakini wakajuaπππKwamba walikua wamelala, lakini wakajua kua wanafunzi walikuja kumuiba ππππ