Kwa hakiki kuishi kingi kuona mengi. Raisi ana appoint Mkurugenzi Waziri wake anamfukuza kujikosha. Wanyamapori wanatoroshwa Novemba na kesi iko mahakamani na wahisika wako nje kwa dhamana, bunge linachochea waziri anakurupuka March anamfukuza mtendaji wake. Matatizo ya msingi hayafukuzi Wakurugenzi, matatizo ya kumtengenezea mtu yanamdhalilisha mtendaji mzuri na anasimamishwa hiyo ndiyo Tanzania kama mchezo wa kuigiza wa kanumba