Uonevu hukumu ya Mahakama dhidi ya Vicky Kamata kuhusu mirathi ya mumewe, Dkt. Likwelile



Ndoa is active before a legal divorce! Sasa sijui wewe ni msomi au broker wa wasomi.... Au kishoka wa wasomi.....
 
Huyu vick Kamata aliwahi kupewa ubunge enzi ya mkwere ; hivi bado ni mbunge?
kapewa hadi ajira siku izi namuona anafanya kazi TAWA na manyota nyota yake bado anakula hela za serikali, ni mkubwa huko TAWA nawaza sijui aliongiaje wakati serikalini ajira mwisho miaka 45, bado anakula mema ya nchi sasa analilia miradhi za nn wakati mshahara wake zaidi ya milion tatu
 
Nilifikir utatoa ushahidi wa ndoa Yao kumbe Umeandika hadithi tu.

Unayemtetea ameshindwa kuonyesha cheti halali Cha ndoa yake.
 


Mashirika yamsaidie kugeuza hukumu ya mahakama au yakate rufaa? Kwa sheria ipi? Sio kuwa hayo mashirika hayaoni au hayasikii kuhusu hukumu hii, bali hayaoni uwezekano wa Vicky kushinda hata akikata rufaa. Jackline na Mengi ndio case kama ya Vicky na Dr. Likwelile.

Kama huna ndoa, huna wosia halali na sio fake, wala hati yoyote ya miradhi toka kwa marehemu, utapewaje mali? Kuishi na mtu tu haikupi uhalali wa kuridhishwa mali, sheria haiko hivyo. Kumbuka Marehemu alikuwa na ndoa na hakufunga ndoa nyingine tena.
 
For Gods sake, kwani huyo kamata,Hana Mali zake?Mali, za, marehemu, zibaki kwa watoto wake tu, hata kama wapo wa nje ya ndoa, hii kuruhusu hawa gold diggers walithi Mali, sio sawa kabisa,
Hukuolewa na Mali, ulimpa moyo,uliyempa moyo, kafa,chukua moyo wako, lala mbele,
 
Mkuu unamaanisha IGA ya bandari?
 
Usitumie nguvu kubwa sana kwa issue inayohusu ndoa. Hivi karibuni mwalimu wangu wa law of evidence amekuwa akitupitisha kwa uchache kuhusu sheria ya ndoa. Ina mambo mazito.

1. Ndoa inayosherehekewa ki-kristo lazima iwe na sharti ya mke mmoja tu. Ili kutengua hili, ni kwenda mahakamani ukiwa na mke wa ndoa moja, muiambie mahakama mmeamua kubadili ndoa mliyosherehekea kikiristo kuwa ndoa wa mme mmoja wake zaidi ya mmoja.

Kama Dr alitaka kuongeza mke, ilifaa atengue kwanza kuacha ndoa ya mke mmoja tena akiwa na mke wake wa ndoa ya kwanza.

Iwapo amefariki mwanandoa, lzm aliyebaki aende kutoa taarifa za mabadiliko hayo, kushindwa kufanya hivyo mwanamke atakaye ishi naye ni hawara tu, hawezi itwa mke kwa mujibu wa sheria.

2. Ndoa zinazisherehekewa kiislam, zinatamka ni mme mmoja wake wengi. Hivyo angekuwa na haki.

3. Ndoa zinazosherehekewa kimila(za kwa mkuu wa wilaya/bomani, wanandoa mnachagua iwe ya wake wengi au mmoja. Kubadili hadi mwende mahakamani.

Vicky ni hawara mbele ya sheria na hawara harithi mali

Sent from my TECNO PR651E using JamiiForums mobile app
 

Haya ndio maneno sahihi !! PERIOD!
 
PURE AFRICAN MAN...tunatumia kirungu ipasavyo....sheria za ndoa kuna haja ya kuzifanyia marekebisho kwa ajili ya mjane na watoto...haijalishi ni wa ndoa ama la...kimsingi ni watoto na wanahaki kama watoto wengine...marehemu angekuwepo asingewatupa asilani(labda kama amepigwa kidude)
 
Hizo sheria ni kandamizi kwa wapendanao.... waliishi wote kwa miaka mingi hadi umauti unamkuta mmoja iweje kwenye mali iwe kizungumkuti, wampatie fungu lake.
Unayosema ni kweli.
Lakini hili liwe funzo kwa wanaooa ama kuolewa mara ya pili bila kuvunja ndoa ya kwanza. Na wanaoingia kwenye ndoa na mtu ambaye unatambua kabisa kwamba hapo awali alikuwa na ndoa yake halali.

Vicky alitakiwa kuwa mjanja, angevuna pesa za mume wake lakini mali alizomkuta nazo asingekubali kuzigusa.
 
Watajijua wenyewe wasituchoshe sie, mjane mwenyewe jeuri anamsema hadi marehemu kwenye mitandao, mjane kigego
 
Sema hata hivyo hawajakaa muda kivilee ..ila ningekua vicky nisingelilia mali...maana bado ana uwezo na mali anazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…