Uonapo hivi jua hupendwi tena

Uonapo hivi jua hupendwi tena

jaman mpk password tena,aya bana... ila ubusy upo mi naupataga natamani hata nisishike cm cku nzima
 
na mwanaume je....lkn mm mwenzeni wivu cna endapo mwanaume atanijali ,ataniheshimu kma mkewe mpenz n kujali ...akachepuke hata ulaya mwaka mzma..achepuke weeee akirudi atanikuta

kumbe jf ina wanawake ambao wako open minded.....kama wewe...big up...
 
HIZI NI TABIA ZA MSICHANA AMBAYE AMEANZA KUCHEPUSHWA

1 Amepunguza mawasiliano

Hi ndiyo njia pekee ya kuweka uhusiano wenu karibu kana alivyokuwa akifanya mwanzo wa mapenzi yenu lakini sasa amepunguza na aishi sababu za
kuwa yupo busy.

2 Anakukwepa kila unapotaka kuonana naye

Hawezi kuonana na wewe kwa sababu utu wa ndani humsutu na hana mapenzi na wewe tena. Hivyo atajarinu kila njia za kukukwepa, kama kusingizia ameyumwa au hana muda

3 ubinafsi

Kama mwanzo mlikuwa mkishare mambo yenu ikiwa simu na siri za maisha yeye ataanza kuweka pasword na pasword ya facebook atabadilisha.

4 hawezi kukuambia hakutaki ila atakuwa hajali

uwepo wako hata ukiwepo naye.

5 Eyes contact

hawezi kuwa na ujasiri wa kuangalia machoni tena kwa sababu ameanza kukusaliti.

6 Ataanza mashindano ya kuacha kufanya vitu ambavyo vilikuwa ni jukumu lake kukufanyia ila sasa atakutegea wewe umfanyiue ukimuuliza
kwanini amebadilika atakujibu kwa nini wewe hunifanyii haya.

M2 hata akikupa password yake, akiamua kufanya mambo meusi atafanya tu behind your back! Hayo mambo yalimponza x boy wangu, haya bana mi napita tu
 
Cha msingi fanya mambo yako weee..nisijue kabisa wala nisinotice any changes from you..na hii mabazazi ndo wanaiweza mtu ambae hajazoea kuchepuka akichepuka tu utamjua maana atabadilika mazima...kuheshimiana ndio kitu cha msingi
 
na foleni hizi bora uchepuke tu ili mradi usivunjike meno,urudi salama kama ulivyoondoka........au uende jumla jumla
 
Back
Top Bottom