Ni kweli lakini pia ukiona hivyo ujue wallet yako imepwaya.
HIZI NI TABIA ZA MSICHANA AMBAYE
AMEANZA KUCHEPUSHWA
1 Amepunguza mawasiliano. Hi ndiyo njia
pekee ya kuweka uhusiano wenu karibu kana
alivyokuwa akifanya mwanzo wa mapenzi yenu
lakini sasa amepunguza na aishi sababu za
kuwa yupo BUSY
2 Anakukwepa kila unapotaka kuonana naye.
Hawezi kuonana na wewe kwa sababu utu wa
ndani humsutu na hana mapenzi na wewe
tena. Hivyo atajarinu kila njia za kukukwepa,
kama kusingizia ameyumwa au hana muda
3 ubinafsi. Kama mwanzo mlikuwa mkishare
mambo yenu ikiwa simu na siri za maisha yeye
ataanza kuweka pasword na pasword ya
facebook atabadilisha.
4 hawezi kukuambia hakutaki ila atakuwa hajali
uwepo wako hata ukiwepo naye.
5 ayes contact hawezi kuwa na ujasiri wa
kuangalia machoni tena kwa sababu ameanza
kukusaliti
6 ataanza mashindano ya kuacha kufanya vitu
ambavyo vilikuwa ni jukumu lake kukufantia ila
sasa atakutegea wewe umfanyiue ukimuuliza
kwanini amebadilika atakujibu kwa nini wewe
hunifanyii haya.
na mwanaume je....lkn mm mwenzeni wivu cna endapo mwanaume atanijali ,ataniheshimu kma mkewe mpenz n kujali ...akachepuke hata ulaya mwaka mzma..achepuke weeee akirudi atanikuta
duuuh.. tuko tofaut sanaaaa
Sanaaa mm nipo hvo nijali tu ,acha ela y kula mwaka mzma...nheshmu kma mkeo mengneyo tafuta kwa ziada kachepuke tuuu hta blazil
aisee.. kweli tembea uone
Naunga mkono hoja mimi ni mama naplay roles zote za umama na za mke kwa mume nampenda na kumheshimu bado anachepuka huwezi kumfunga kamba au kumfatilia kila anachokifanya namwacha tuu achepuke ntamkumbusha matumizi ya kondom tuu ili ajue kuwa najua mambo anayofanya na ajue matokeo yake ni kuaacha watoto wanahangaika .Hahahaaa mm nipo hvo yani ..tena hadi utajiulza huyu mwanamke vp? Analake jambo nn..au ananiloga kumbe mm nmetulia tu ..ukilud heshma iwepo
Hahahaaa mm nipo hvo yani ..tena hadi utajiulza huyu mwanamke vp? Analake jambo nn..au ananiloga kumbe mm nmetulia tu ..ukilud heshma iwepo
Mmh napita
Kweli kabisa, mtu mzima hafungwi, kama ameamua kuchepuka ni bora kumwacha, manake ulifuatilia sana unaweza kupata presha bure, na tena ukimfuatilia sana ndio bichwa linavimba dawa kumpotezea tu ili mradi wallet ipo safi.
Naunga mkono hoja mimi ni mama naplay roles zote za umama na za mke kwa mume nampenda na kumheshimu bado anachepuka huwezi kumfunga kamba au kumfatilia kila anachokifanya namwacha tuu achepuke ntamkumbusha matumizi ya kondom tuu ili ajue kuwa najua mambo anayofanya na ajue matokeo yake ni kuaacha watoto wanahangaika .