Uonapo hivi jua hupendwi tena

Uonapo hivi jua hupendwi tena

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
702
HIZI NI TABIA ZA MSICHANA AMBAYE AMEANZA KUCHEPUSHWA

1 Amepunguza mawasiliano

Hi ndiyo njia pekee ya kuweka uhusiano wenu karibu kana alivyokuwa akifanya mwanzo wa mapenzi yenu lakini sasa amepunguza na aishi sababu za
kuwa yupo busy.

2 Anakukwepa kila unapotaka kuonana naye

Hawezi kuonana na wewe kwa sababu utu wa ndani humsutu na hana mapenzi na wewe tena. Hivyo atajarinu kila njia za kukukwepa, kama kusingizia ameyumwa au hana muda

3 ubinafsi

Kama mwanzo mlikuwa mkishare mambo yenu ikiwa simu na siri za maisha yeye ataanza kuweka pasword na pasword ya facebook atabadilisha.

4 hawezi kukuambia hakutaki ila atakuwa hajali

uwepo wako hata ukiwepo naye.

5 Eyes contact

hawezi kuwa na ujasiri wa kuangalia machoni tena kwa sababu ameanza kukusaliti.

6 Ataanza mashindano ya kuacha kufanya vitu ambavyo vilikuwa ni jukumu lake kukufanyia ila sasa atakutegea wewe umfanyiue ukimuuliza
kwanini amebadilika atakujibu kwa nini wewe hunifanyii haya.
 
hadi password nayo upewe? eeh, aisee hata kama ni mapenzi, hiyo hapana!!

Kuna mshkaji chuoni UDSM sababu ya kujifanya anapendana, kaliwa shs laki 5 na manzi ake, kisha manzi kapotea!

No matter what, siwezi kukupa sensitive passwords! NO! ever i wont! kwa mke wangu, hiyo inawezekana, sio kwa dem!
 
Ni kweli lakini pia ukiona hivyo ujue wallet yako imepwaya.
 
Ni kweli lakini pia ukiona hivyo ujue wallet yako imepwaya.

Wanasema mapenzi yalishahama moyoni, yapo kwenye wallet siku hizi!! Binti akikwambia nakupenda toka moyoni mwambie uwongo unanipenda ukiona wallet!!
 
HIZI NI TABIA ZA MSICHANA AMBAYE
AMEANZA KUCHEPUSHWA
1 Amepunguza mawasiliano. Hi ndiyo njia
pekee ya kuweka uhusiano wenu karibu kana
alivyokuwa akifanya mwanzo wa mapenzi yenu
lakini sasa amepunguza na aishi sababu za
kuwa yupo BUSY
2 Anakukwepa kila unapotaka kuonana naye.
Hawezi kuonana na wewe kwa sababu utu wa
ndani humsutu na hana mapenzi na wewe
tena. Hivyo atajarinu kila njia za kukukwepa,
kama kusingizia ameyumwa au hana muda
3 ubinafsi. Kama mwanzo mlikuwa mkishare
mambo yenu ikiwa simu na siri za maisha yeye
ataanza kuweka pasword na pasword ya
facebook atabadilisha.
4 hawezi kukuambia hakutaki ila atakuwa hajali
uwepo wako hata ukiwepo naye.
5 ayes contact hawezi kuwa na ujasiri wa
kuangalia machoni tena kwa sababu ameanza
kukusaliti
6 ataanza mashindano ya kuacha kufanya vitu
ambavyo vilikuwa ni jukumu lake kukufantia ila
sasa atakutegea wewe umfanyiue ukimuuliza
kwanini amebadilika atakujibu kwa nini wewe
hunifanyii haya.

hapo namba 5, nadhani ulimaanisha eyes na sio ayes
 
na mwanaume je....lkn mm mwenzeni wivu cna endapo mwanaume atanijali ,ataniheshimu kma mkewe mpenz n kujali ...akachepuke hata ulaya mwaka mzma..achepuke weeee akirudi atanikuta
 
na mwanaume je....lkn mm mwenzeni wivu cna endapo mwanaume atanijali ,ataniheshimu kma mkewe mpenz n kujali ...akachepuke hata ulaya mwaka mzma..achepuke weeee akirudi atanikuta

duuuh.. tuko tofaut sanaaaa
 
Hahahaaa mm nipo hvo yani ..tena hadi utajiulza huyu mwanamke vp? Analake jambo nn..au ananiloga kumbe mm nmetulia tu ..ukilud heshma iwepo
Naunga mkono hoja mimi ni mama naplay roles zote za umama na za mke kwa mume nampenda na kumheshimu bado anachepuka huwezi kumfunga kamba au kumfatilia kila anachokifanya namwacha tuu achepuke ntamkumbusha matumizi ya kondom tuu ili ajue kuwa najua mambo anayofanya na ajue matokeo yake ni kuaacha watoto wanahangaika .
 
Hahahaaa mm nipo hvo yani ..tena hadi utajiulza huyu mwanamke vp? Analake jambo nn..au ananiloga kumbe mm nmetulia tu ..ukilud heshma iwepo

Kweli kabisa, mtu mzima hafungwi, kama ameamua kuchepuka ni bora kumwacha, manake ulifuatilia sana unaweza kupata presha bure, na tena ukimfuatilia sana ndio bichwa linavimba dawa kumpotezea tu ili mradi wallet ipo safi.
 
Umeona eeeh akachepuke tuuu
 
Naunga mkono hoja mimi ni mama naplay roles zote za umama na za mke kwa mume nampenda na kumheshimu bado anachepuka huwezi kumfunga kamba au kumfatilia kila anachokifanya namwacha tuu achepuke ntamkumbusha matumizi ya kondom tuu ili ajue kuwa najua mambo anayofanya na ajue matokeo yake ni kuaacha watoto wanahangaika .

Yani we acha tu akachepuke tuu
 
Back
Top Bottom