Kwanini izi kampuni au organizations za kazi mnanyanyasa sana watu Ivi na qualifications za ajabu??? Ivi kweli mtu unaandika 18-29 halafu awe ana degree na pia experience ya miaka 5? Huyo 18 c from 5 au 6 wengine walochelewa 4 kabisa? Ndo shida ya kupaste kila kitu. Na iyo mwisho 29 nini? Kwamba after 30 tukaretire sio?
Sikilizeni kuna kazi nyingi za office ambazo 95% mtu anajifunza kwa probation tu hata wiki chache. Mtu unanyimwa kazi eti hujasomea something specifically na mshahara mnene kazi Yenyewe mbele ya desk na computer ambayo hata mtoto wa darasa la saba unamfunza in a week. Ndo yale yale dereva kakuendesha miaka 10, no accident nothing but kesho Nataka cheti cha udereva.
Pia wekeni salary openly watu wajue na muache maswali ya kijinga like why work for us bla bla bla... watu tunataka hela and we are ready to be your slaves in the mean time hatutaki kuwaangalia all day long sijui nini, mna drama nyingi mwisho wa siku mnalipa watu 300k mbwa nyie, kuweni open and fast na pia mtu ushaweka CV bado ujielezee vitu 99% vipo kw CV tayari.
Shenzi kabisa