- Thread starter
- #21
Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
MI MUHINDI MKONGO MDAU, Usioff izi kala mtuwangu
Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
So unbelievable! Naungana na AshaDii kubisha. Hivi ndo anaamkiaje? Shakmoo mpenzi? Shkamoo sweetie? Jamani lol!
halafu mod wanatusumbua kama nini wat wa dizaini hii..
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta
CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa kupata ONE-toto.
Je, wf ikosawa au laa maoni.
Note: mwisho mwadada anakipato kuliko jamaa yake, Justwhy? jamaa kaja na anaishi naye uyu dada but everythings jamaa anapewa kuanzia MATUMIZI adi MAUPWIKS AU UNGWIDU!!!!
kama wameridhiana tatizo liko wapi,amuakie hata akitaka kumpigia magoti ni sawa kwa raha zake.

MNASHIDA KAMA ANA PATA MATIKITI MAJI ACHA AWAJIBIKE
utamaduni wetu watueleza kuwa mdogo amuheshimu mkubwa na maamkizi yake ni shikamoo. Nadhani hakuna tatizo lolote maadamu wamekubaliana na hali hii. Tatizo linakuja toka kwa watu wa nje ambao mara nyingi ndo huwa wanachangia kuharibika kwa mahusiano ya wapendanao. Mke wangu huniamkia kila tuamkapo asubuhi na hali hii ni tangu tuwe marafiki wa kawaida hadi nilipofunga naye ndoa na hadi sasa tuna watoto wawili. Ninamzidi miaka mitano.
My take: Kuamkiana kati ya wanandoa/marafiki hakutokani hasa na suala la umri bali heshima iliyojikita kati yenu
Lazima utakua mCongo man wewe si bure!
ka wana lala wt kwa nn amuamkie mble za wa2 !?
ka wana lala wt kwa nn amuamkie mble za wa2 !?
Sorry kwa kuwa nje ya mada! Kabla sijasema chochote wewe ni mhindi,mkenya,mkongo au mwarabu? Maana si lugha tuu hata ulivyochanganya font colour hapo duh!
keyboard yake itakuwa imeenda shule, kila button inatoa herufi yenye rangi yake