Unyanyasaji wa kimapenzi

Bwana uber

Member
Joined
Jul 30, 2018
Posts
22
Reaction score
33
Jamani naomba kueleweshwa nini maana ya unyanyasaji wa kimapenzi,nimekua nikisikia nchi za wenzetu hasa huko kwa Trump kuna watu wanakesi za unyanyasaji wa kimapenzi,.Je nahapa kwetu kuna kesi kama hizi?maana sijawah kusikia au hapa kwetu hakuna unyanyasaji wa Kimapenzi?
 
Zipo ila wanaonyanyaswa hawana pa kwenda kusemea au hawana ile elimu ya kujua haki zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…