Unyanyapaa wa Chadema

Baada ya wabunge wa upinzani kutoka nje ,wabunge wa CCM waliobakia wote walikuwa wamepiga mbonji
Kiasi kwamba kuendelea na Bunge ulikuwa upuuzi.

hivi baada ya wabunge kupiga usingizi lukuvi akuomba muongozo wa spika ili asome kanuni?

Anaye jua kilichojili baada ya hapo naomba atujuze!
 
hivi baada ya wabunge kupiga usingizi lukuvi akuomba muongozo wa spika ili asome kanuni?

Anaye jua kilichojili baada ya hapo naomba atujuze!

Si ndo Lukuvi akasema "Mh. Madam spika kwa kuwa wabunge wa upinzani wote wametoka na sasa hata sisi watawala tuliobaki humu ndani wengi wamepiga mbinji inabidi uagize kahawa na kashata zipo pale stendi kwa Mzee Juma ndo huwa anauza nzuri. Kila mmoja akipata vikombe vitano na kashata tatu basi mambo yatakwenda sawa!"
 

Wewe kwa ufahamu wako unaona vyombo vya dola vinatenda haki, zaidi ya kulimboka watu na kuwa bambika kesi??? Bila shaka unasababu zako za msingi kupakazia CDM huku ukijificha nyuma ya pazia!!!!Huoni vyombo hivi badala ya kukamata waarifu wa EPA, RICHIMOND,MEREMETA pamoja na kuwa na ushahidi wao wanalimboka watu wanodai haki zao???? Fedha zetu zimelala kwenye mabenki Uswiss, CayMans Island, SA na kwingineko, wanyama wetu wanahamishwa hovyo bado tu unatetea huo uhalifu, mbali na kina INSP Msangi????

 
Mwiba,
Kwanza, si kila anayechangia hoja kussuport chadema yeye ni mwanachadema. Point iliyoko wazi hata kwa mtoto mdogo ni kwamba Chadema wanonewa sana bungeni. Hakuna haki kwao na hii ni dalili nzuri kwamba wanaogopeka.

Pili, sidhani kama kisiasa it is right kumjibu mtu anayekutukana na kukudahlilisha kwa maneno matamu ya kumtoa nyoka pangoni. That is not politically correct.

Tatu, huwezi kuwalaumu chadema walio wachache kwa kuwa na lugha flani bungeni halafu ukawaacha CCM waliowengi ambao wanaongea jambo lile lile. Ikiwa huna ushabiki ndani yako, utagundua umeandika kwa hisia wala hakuna uhalisia kwenye unayoyasema
 
Last edited by a moderator:

huwezi amini baada ya warema kusema hoja hiko mahakamani likuvi aliomba mwongozo kuhusu wale wanao sinzia hasa komba na wasira
 
Suala la Makinda liko mahakamani hivo halitakiwi kujadiliwa, tutakuwa tunaingilia uhuru wa mahakama!! <>Lukuvi

Upo mkuu habari za Kemondo ndugu? Ogu talishubila!!

ninguma muno! Oba kaise
 
Duuh!! Tumetokea mbali hilo gazeti la watu waloshiba siagi lituache..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…