Iringa (Picha inatisha): Kijana ashambuliwa na watu anaodai kuwa ni Polisi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,300
33,919
Naomba radhi picha hazitakuwa nzuri kwa jamii lakini kuthibitisha jambo lenyewe ni lazima kuweka hizo picha.

Unyama wa namna hii inawezekanaje ukatokea Tanzania?

Nimepewa taarifa kijana huyu alishambuliwa na watu anaodai kuwa ni Polisi hapa Iringa.

Kwa vyovyote vile ilivyo tunaomba Jeshi la Polisi wafanye uchunguzi Ili aliyemshambulia huyu kijana apatikane na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
IMG-20210515-WA0250.jpg
 
Hili suala la Askari wa jeshi la polisi kugeuka majambazi liangaliwe kwa upana zaidi hakuna anayekemea,wamekuwa wakipiga,kutesa,na kuuwa wanaangaliwa tu.Mwamba huyo Askari tunamjua mpaka kwake mke wake na watoto zake wanajulikana akae mkao wa kula zamu yake inakuja hawajui wanyarukolo huyu
 
Izo mbona hazi tishi mkuu..acha police kuna raia wana piga hatari
Sijui watanzania tuna matatizo gani. Mtu akija na hoja inayohusu mwathirika wa vitendo vya unyama ni lazima m'bongo aseme huo siyo unyama halafu ajaribu kuelezea unyama mwingine ambao anadhani ni wa kiwango cha juu zaidi, utadhani ni mashindano. Tabia hii imefanya wahanga wengi wasipate msaada. Hata kama unataka kuzungumzia unyama mwingine kuna namna ya kusema lakini siyo uponde unyama A na kusema unyama B ndiyo zaidi.
 
Unashangaa hili , Alphonce Mawazo alipigwa mashoka mithili ya Nyama ya kiuno buchani inavyocharangwa ili wateja wachanganyiwe mifupa
Ni jambo baya sana. Watanzania tuwe wamoja, na wa amani na upendo.
====
 
Uongo wa Jeshi la polisi unamletea nani ? kuna mgeni wa siasa za Magufuli humu JF ? utakuwa na kiwango cha chini sana cha akili ukidhani unaweza kudanganya mtu hapa jf
 
Unashangaa hili , Alphonce Mawazo alipigwa mashoka mithili ya Nyama ya kiuno buchani inavyocharangwa ili wateja wachanganyiwe mifupa
Ndo maana huwa nasema waliofanya na kuratibu na kubariki hayo yote WAFE kama ambavyo Mungu Ameanza kuonesha ukuu wake.

Unasemaje lissu je?
 
Ni jambo baya sana. Watanzania tuwe wamoja, na wa amani na upendo.
====
Bado unashabikia ule ubambikiziaji kesi za uongo kwa wasio na hatia?🙄
 
Sijui watanzania tuna matatizo gani. Mtu akija na hoja inayohusu mwathirika wa vitendo vya unyama ni lazima m'bongo aseme huo siyo unyama halafu ajaribu kuelezea unyama mwingine ambao anadhani ni wa kiwango cha juu zaidi, utadhani ni mashindano. Tabia hii imefanya wahanga wengi wasipate msaada. Hata kama unataka kuzungumzia unyama mwingine kuna namna ya kusema lakini siyo uponde unyama A na kusema unyama B ndiyo zaidi.
Ndo Ume andika nini sa na wewe .msaada gani wewe umetoa .acha porojo
 
Naomba radhi picha hazitakuwa nzuri kwa jamii lakini kuthibitisha jambo lenyewe ni lazima kuweka hizo picha.

Nimepewa taarifa kijana huyu alishambuliwa na watu anaodai kuwa ni Polisi hapa Iringa.

Kwa vyovyote vile ilivyo tunaomba Jeshi la Polisi wafanye uchunguzi Ili aliyemshambulia huyu kijana apatikane na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.View attachment 1786395View attachment 1786398
Polisi wa Tanzania wana ruhusa ya kuumiza RAIA na kuwachania suruali wanapoandamana
 
Sijui watanzania tuna matatizo gani. Mtu akija na hoja inayohusu mwathirika wa vitendo vya unyama ni lazima m'bongo aseme huo siyo unyama halafu ajaribu kuelezea unyama mwingine ambao anadhani ni wa kiwango cha juu zaidi, utadhani ni mashindano. Tabia hii imefanya wahanga wengi wasipate msaada. Hata kama unataka kuzungumzia unyama mwingine kuna namna ya kusema lakini siyo uponde unyama A na kusema unyama B ndiyo zaidi.
Hiyo hufanywa ili kumtoa mleta hoja kwenye reli
 
Sijui watanzania tuna matatizo gani. Mtu akija na hoja inayohusu mwathirika wa vitendo vya unyama ni lazima m'bongo aseme huo siyo unyama halafu ajaribu kuelezea unyama mwingine ambao anadhani ni wa kiwango cha juu zaidi, utadhani ni mashindano. Tabia hii imefanya wahanga wengi wasipate msaada. Hata kama unataka kuzungumzia unyama mwingine kuna namna ya kusema lakini siyo uponde unyama A na kusema unyama B ndiyo zaidi.
Mkuu uko vizuri kwenye kujenga hoja na kuelezea, pia unakijua kiswahili.

Kuna comments za watu wengine ukisoma, unaelewa tu alichokusudia lakini uandikaji wake ni shida.
 
Kwa vyovyote vile ilivyo tunaomba Jeshi la Polisi wafanye uchunguzi Ili aliyemshambulia huyu kijana apatikane na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Huyu anaweza kuwa kama yule dereva aliesema amekaa bandarini mwezi kushusha mzigo
Habari kama hizi huwa hazina mashiko,nilidhani unaweka picha hao polisi wakimsulubu
 
Back
Top Bottom