Unyama HUU Mtaacha LINIIII


Huo si unyama. Wanyama huwa hawafanyani hivyo wala hawawafanya binadamu hivyo. Kwataarifa yako hapo ni china na huyo mnyama (mbwa) yupo machinjioni.anasubiri kufanywa kitoweo ( najua kuwa kama ingekuwa ni mbuzi au shwaini ungeona sawa tu, ila dog aaa ni ujama.
 

Hata angekuwa Bata kunasheria zinawalinda wanyama wote dhidi ya mateso.
 
Huwezi kupigania haki ya mnyama halafu baadae unamkata kichwa,unamchuna ngozi,unamkaanga na mwishowe unamla kwa uchu.my take hakuna ukatili mkubwa kwa mnyama kama kuchinjwa na kuliwa na binaadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…