Until we meet again in paradise, bye!

Status
Not open for further replies.
Bado nawahakikishia kwamba mimi si Vintage1q. Kuna njia nyingi tu ambazo zingetumika kutaka kujua kama hili jambo ni kweli au si kweli. Angejitokeza mtu mmoja aulize yuko wapi na aonane nae na kisha tuendelee kuchat hapa. Akaunti ambayo natumia mimi niliichukua kutoka kwa huyu ndugu. Sikuwa na akaunti JF by then. Nikawa natumia akaunti yake mara nyingi na kaamua kuniachia akafungua nyingine na bila shaka kuna details zinafanana. Nimehuzunika sana. Bado mnayo njia ya kuweza kuthibitisha kama hili nikweli au la
 
Kaka jambazi uko na ujasiri
 
 

Attachments

  • images.jpeg
    16.9 KB · Views: 12
vijana wapumbavu sana.. nimesoma hiyo hadith ya vintage ya kina yasinta na upendo..... imekajaa kusadikika kwingi sana.. mtu utembee from rangi tatu to kibada kwa miguu??!!..
Alafu mimi nishaanza kusanuka,kuna uzi alidai ana watoto watatu,aliufuta ila kuna jamaa alishamauote alafu uzi mwingine akadai ana watoto wawili taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani nikaleft kwa mda
 
Kaka muungwana akikosea huchutama .
Embu zima data ,washa jioni badili I'd alafu anza maisha mapya JF ,hapa bado unakutana na spana za wanamgambo tu ,nakuonea huruma wakija wanajeshi wenyewe maana muda huu wamepumzika naona watakufanya ukajiue kweli .
 
Mr clearmind please stop this, unajua tuliongea nini na ukaniambia nini, na unajua nafahamu ukweli kwani ile mbinu yako ilikuwa rahisi sana kuigundua.

Kubali yaishe, kuwa na ID zaidi ya moja sio dhambi, bali dhambi ni kutaka kurubuni watu au kuleta utapeli.
 
It's too little too late mkuu. Kwa comment hii hakuna wa kukuamini.
 
Baada
Kwenye uzi wa Maisha ya ndoa na familia

clearmind ulitajwa kama mmoja wapo wa wana JF waliomsaidia, na pia wewe ndiye mtu wa kwanza kutoa maoni baada ya kumaliza kusimulia.

Ukija huu uzi wa until we meet again ulipandishwa saa 7:06 pm, na wewe ukawa mchangiaji wa kwanza saa 7:11 pm, unataka kusema hii ni bahati?
 
Kwakuwa anakuwa mbishi mbishi kitakachofuata ni kuwaoomba moderators watupe location yake ili akapigwe viboko kwanza
 
Umempata?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…