UNSC: Azimio dume kusimamisha lapitishwa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Itakuwa ni habari mbaya mno kwa m-sayuni na ndugu yake. Walipo watakuwa wanatweta kwa hasira.

IMG_20240325_202818.jpg

Kwamba imekuwa kura 14 dhidi ya 1 ya beberu mmoja aliyeona aufyate? Kwa hakika inatosha sana.

Vita vinatakiwa kukoma na mateka wote wa pande mbili kuachiwa. Ikumbukwe mateka ni wote washikiliwao tokea Oct. 7. Humo m-sayuni anao 7,000+.

Kazi kweli kweli.

Ngoja tumwone huyo aliye mwana kharam, kichwa ngumu au kibaka wa kukaidi "a UNSC resolution."
 
Itakuwa ni habari mbaya mno kwa m-sayuni na ndugu yake. Walipo watakuwa wanatweta kwa hasira.

View attachment 2944569

Kwamba imekuwa kura 14 dhidi ya 1 ya beberu mmoja aliyeona aufyate? Kwa hakika inatosha sana.

Vita vinatakiwa kukoma na mateka wote wa pande mbili kuachiwa. Ikumbukwe mateka ni wote washikiliwao tokea Oct. 7. Humo m-sayuni anao 7,000+.

Kazi kweli kweli.

Ngoja tumwone hiyo aliye mwana kharam, kichwa ngumu au kibaka wa kukaidi "a UNSC resolution."
Kwani akikaidi utanfanya nini? Halafu mwana Haram ni nani Kati ya hamass na Israel? Yani hujui kuwa Usa imejitoa Ili iwe rahisi kumtandika huyo mjinga Hamass.we subiri kidogo utaona .Nani alijua kama David mchunga kondoo angmpiga yule kitu Goriath babu yake na Hamass?
 
Endelea kuota ndoto za mchana.

Mwana kharam ni mkiuka maazimio ya dunia.

Kulikoni alipo makalio yana mlia mbwata?!
 
Maazimio kama yako hivi mbona sawa tu maana yake Hamas Aachie mateka na Israel Aachie wafungwa aliowakamata tangia October. Mbona hicho ndo kilikuwa kinatafutwa na Israel? Lakini kama ceasefire bila mateka kuachiwa walahi vita haitasimama. Israel hawezi kukubali huo mchezo ambao umeshindwa kufanya kazi kwa Ukraine na Rusia
 
Ingekuwa mchekea hivyo kwa Israeli, kulikoni kutapatapa huku?

IMG_20240326_071933.jpg
 
Jana nilikuwa namsikiliza Ahmed Rajab BBC anasema maazimio kama haya yamekuwepo Toka mwaka 1960 lakini Israel Huwa hayawashughulishi, kwahiyo kichapo Kiko pale pale kituo kinachofuata ni Rafah.

BiBi finish those bastards.
 
Bibi yako ndiyo huyu anayelalama ki poyoyo hapa?

IMG_20240326_071933.jpg
 
Tatizo la kuisoma Israel kwenye mitandao. Maazimio kama hayo hayajaanza leo. Na yahudi hufanya daima aonayo ni mema machoni pake.
 
Nahisi hata hicho kilichoandikwa hapo hujakielewa.

1 Kwa kuwa uliyekwenda shule ni wewe peke yako?

2. Bila shaka ulipenda kuombwa kutafsiri?

3. Kwani hata unajua kimepatikana wapi?

4. Kwani cha kwako kimoja hata cha ngama tu kiko wapi?

Bure kabisa!
 
Endelea kuota ndoto za mchana.

Mwana kharam ni mkiuka maazimio ya dunia.

Kulikoni alipo makalio yana mlia mbwata?!
Mnakuaga na us€nge wa ajabu sana nyie ngurue,palestine imepigwa ikapigika kwa ujinga wa hamas,wapalestina wamejikusanya huko rafah kama kuni mbichi zinazosubiriwa zikauke zitiwe jikoni, mu israel hana haramu yule,kwa hapo alipofikia hajali chochote,sasa badala ya kwenda naye kwa akili nyie warabu koko mnamwendea kinyumenyume huku mmeshusha chupi,atawafr kweli.
 
Maazimio kama yako hivi mbona sawa tu maana yake Hamas Aachie mateka na Israel Aachie wafungwa aliowakamata tangia October. Mbona hicho ndo kilikuwa kinatafutwa na Israel? Lakini kama ceasefire bila mateka kuachiwa walahi vita haitasimama. Israel hawezi kukubali huo mchezo ambao umeshindwa kufanya kazi kwa Ukraine na Rusia
Hamas hawana mateka wowote wanaowashikilia kwa sasa,waliwaua wote on the spot, na hilo litawa cost,huku likimpa jeuri zaidi netanyahu
 
Mnakuaga na us€nge wa ajabu sana nyie ngurue,palestine imepigwa ikapigika kwa ujinga wa hamas,wapalestina wamejikusanya huko rafah kama kuni mbichi zinazosubiriwa zikauke zitiwe jikoni, mu israel hana haramu yule,kwa hapo alipofikia hajali chochote,sasa badala ya kwenda naye kwa akili nyie warabu koko mnamwendea kinyumenyume huku mmeshusha chupi,atawafr kweli.

Tatizo la nyani kama wewe ni kutoona k*ndule.

Uliyoandika yote ni applicable kwako zaidi kuliko mwingine yeyote.

Bure kabisa!
 
Hamas hawana mateka wowote wanaowashikilia kwa sasa,waliwaua wote on the spot, na hilo litawa cost,huku likimpa jeuri zaidi netanyahu

Kama waliwauwa on the spot 105 walio badilishwa phase 1, 4 walioachiliwa na 3 iliodai Israel kuwaokomboa miezi kadhaa baada ya Oct 7 walitoka wapi?

Au wewe una definition Yako peke yako kumaanisha "on the spot?
 
Tatizo la kuisoma Israel kwenye mitandao. Maazimio kama hayo hayajaanza leo. Na yahudi hufanya daima aonayo ni mema machoni pake.
Kuna watu hawajawajua wayahudi vizuri wasubiri ndani ya sasa mpaka 3034 watawaelewa hawa ni watu wa namna gani na kwa nini wapo duniani maana kuna watu wanafikiri uwepo wao na historia yao ni kitu cha kawaida tu.
 
Back
Top Bottom