Unrest in Baltimore

 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol! Mnaanza kuchakachua uzi.


:focus:

Teh teh teh...unajua si wanaume akili yetu muda mwingi huwaza ngono tu.

I just couldn't help it man.
 
Reactions: BAK
Aisee nimecheka sana I did not expect this line lol!...Thanks for telling the truth. Miafrika au Mijanaume ndivyo ilivyo......lol!

Teh teh teh...unajua si wanaume akili yetu muda mwingi huwaza ngono tu.

I just couldn't help it man.
 
Aisee nimecheka sana I did not expect this line lol!...Thanks for telling the truth. Miafrika au Mijanaume ndivyo ilivyo......lol!

Hey man I'm just keeping it one hundred.

Our (men's) minds don't take long to start wandering off into some other 'territories', if you know what I mean....
 
Sawa Mkuu Yego ila hizo picha ulizoweka hazimtendei haki katika kuonyesha Muumba alivyompendelea.
Ahaaa...Najua matatizo yetu sisi wabantu, BAK kwani mpaka uone kule mahala?.:smile-big: Sisi wengine mpangilio wa meno yake tu inatosha kabisa!.
 
But pia ni lesson learned to the corrupt cops. They should stop police brutality
 
Jimbo la Maryland katika Mji wa Baltmore ambako Rais wetu Kikwete alikwenda kutibiwa tezi dume umechafuka na haukaliki kabisa kwa siku mbili mfululizo baada ya kijana Freddie Gray kufariki dunia katika kifo cha utata kilichotokea mikononi mwa Police, Freddie Gray ni Mmarekani mweusi, kifo chake kinaaminika kuwa aliteswa kikatili na Police wa kizungu hadi akafa, hadi sasa Police 15 katika mji huo wapo hoi kwa vichapo kutoka wananchi wenye hasira, matukio ya mauaji ya ubaguzi wa rangi yamekuwa kitu cha kawaida sana nchini Marekani, Police weupe wakiwaua kwa makusudi na bila hatia yoyote weusi na kisha kutochukuliwa hatua yoyote ile.

==========================


source: yahoo
 
Ubaguzi wa Rangi umerudi kwa Style nyingine.
===================== Chanzo: BBC
 
Hivi huu ubaguzi kuna siku utaishi kabisa kweli kwa watu weusi kubaguliwa na Wazungu?
 
Ingekuwa imetokea kwa nchi ya kiarabu hapa tungeona Mayahudi weusi wangevamia uzi huu kama mchwa, lakini wanaouwa ni ndugu zao hutasikia, wanapita kwenye uzi kama hawaoni
Mmmhh !1 aisaee umenichekesha..yaani hivo !!



Lakini siku hizi majanga na balaa kila kona.... hivyo wee mezea tu.......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…