demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,294
Ku-unlock simu yako ya Samsung, ili iweze tumia laini za simu mbalimbali ni kazi kubwa sana kwa mtu ambaye ni mgeni kwenye masuala ya Technology.
Leo hii nakupa nafasi ya kuwa na uwezo huo mkononi mwako..!. Kumbuka wafanya biashara wengi wasingependa nikupe hii trick...hivyo inakupasa hata kuandika mahala .Huenda hata Mods wakaitoa hii thread kwa kufikiri inaharibu biashara za watu.
Kuepuka hatari/uharibifu mbalimbali ambao unaweza kutokea kwenye simu yako inakupasa unifuate kwa makini sana katika kila hatua.
ONYO:Kabla hujaanza na mimi inakuhitaji ku-back up simu yako!!!!
1. Bonyeza kitufe cha kupiga simu kisha ingiza code zifuatazo [FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]*#27663368378# zitakupeleka moja kwa moja katika "service_mode"
[/FONT]View attachment 217971
2. Kama hizo code hazijafanya kazi kwenye Model ya simu yako basi jaribu *#0011#, nazo zitakupeleka kwenye "service_mode".

3. Hizo code zitakupeleka kwenye eneo la maelezo ya msingi ya "service_mode" kama ifuatavyo.

4. Kutoka hapo, bonyeza (Menu) button katika simu yako, na bonyeza (Back) button kama inavyoonekana kwenye picha.

5.Bonyeza tena kwenye (Menu) button, lakini sasa hivi bonyeza (Key Input) kama inavyoonekana katika picha hapa chini.

6.Itakuja menu itakayikuhitaji kuingiza namba, Bonyeza namba 1 na bofya (OK).

7.Yakupasa uwe ndani ya UMTS MAIN MENU katika service_mode.Chagua [1] DEBUG SCREEN.

8.Ndani ya DEBUG SCREEN utaona machaguo sita, chagua [6] PHONE CONTROL.

9.Ndani ya uwanja wa PHONE CONTROL utaona machaguo saba, chagua [7] NETWORK LOCK.

10.Katika uwanja wa NETWORK LOCK utaona machaguo matatu, chagua [3] PERSO SHA256 OFF

11.Baada ya hapo, Bonyeza kwenye Main Menu button ya simu yako, Kisha bonyeza (Back Key) kutoka kwa hiyo menu iliyo jionesha.
12.Utakuja uwanja wa UMTS MAIN MENU , Bofya [6] COMMON.

13. Sasa bofya chaguo namba sita, [6] NV REBUILD.

14.Mwishowe, simu yako itakutaarifu kwamba kuna Golde-Backup..chagua [4] RESTORE BACKUP.

Simu yako sasa itajiwasha hivyo itachukua takribani dakika 2 (mbili) ..isubiri hadi iwake kabisa.Baada ya kuwaka sasa simu yako iko tayari kutumia laini ya mtandao wowote ule hapa nchini.
Angalizo..: Hili zoezi linafanyaka kikamilifu katika samsung model number SGH-M919, SGH-1337, na SGH-1337M.
Kama umefanikiwa kufanya zoezi hili katika simu yenye model tofauti basi unakaribishwa humu ndani ili tujuzane.