Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

Tatizo firmware pa kuipata ndiyo nimeshindwa hiyo modem ni Shanghai notion m022, nikiipata firmware kila kitu kitakuwa sawa. Ina online dashboard unafanya update huko
Point ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimware

wakati unajaribu ku update kuwa tayari kwa kuiua hio moderm
 
Point ni kwamba Haiwezekani,na ikitokea ukapata hiyo fimware

wakati unajaribu ku update kuwa tayari kwa kuiua hio moderm
Sasa firmware halisi ya Modem ambayo mi unlocked to all sim itaharibu vipi? Nachojua ukitumia wrong firmwarr ndiyo unaiua
 
Daah! Nilitaka ninunue hii ya TTCL kumbe ni changafire kuifungua tena..

Vipi ile ya Airtel wanayouza 70k na GBs 40? Inaweza kua unlocked..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…