Habari ndugu na jamaa nina iphone 4s tatizo langu ni kwamba hio simu ilifanyiwa jailbreaking na mimi nikai update ios kufikia 7.1 na sasa ikiwaka inataka kuactivate lakini inadai sim not valid kwa anaejua solution aniambie na gharama. Thanks to all

Unahitaji kujia ina lock ya mtandao gani na wa wapi kwanza, then itakubidi ufanye payment ambayo inategemea na mtandao then pia it depends inaweza kuchukua siju 1-3 kwa mtandao kama wa AT&T au inaweza kuchukua siku 30 kwa mtandao kama Orange