Unlock modem mpya za Airtel ZTE MF190


Ahsante sana mkuu hata huku kwangu inakwenda vizuri hakuna matata...Big up Don David!Huku mtaani kuna jamaa alikuwa anataka nipe buku 10 ili unlock kumbe kitu chenyewe kirahisi mno.
 
na unlock modems kwa 10,000 ambazo siyo za CDMA napatikana morogoro call me on 0717009369
 
Kaka vipi kuhusu Modem za Tigo (HUAWEI, E153u-1) Inakubali kufunguka?

But shukrani sana. Nilikuwa na Modems ya Zantel, Tigo, na Airtel but now nitakuwa natembea na hii ya Airtel tu. Maana baada ya unlocking inachapa kazi bila hata brake, zinachapa kazi line za Voda, Tigo, na Airtel yenyewe, Zantel imekataa.

 
Aisee huo mzigo wa tigo kimeo sana ila am workn on t nadhan soon ntapata solution inakubali kuchange dashboard tu lakini haitak kuchange firmware yake,, na kuhusu hiyo modem ya Airtel,,line ya zantel haiwez kufanya kazi hapo sababu ile ni line na CDMA cyo GSM kama hizi za mitandao mingine
 
Yenyewe ni ZTE, alaf ni model k3565-z

tafuta mtu mwenye airtel modem lkn iwe ZTE install program yake alafu weka hiyo modem yako na line yoyote ukitumia hiyo program ya airtel itafanya kazi.
 
OK, shukran sana Kaka. Kila lakheri.

 
mkuu, ulipata solution? coz ninayo vodacom moderm mpya inanizengua kuiunlock. kama vipi ni pm procedure kama umefanikisha.
 

upgrade firmware to version 20 au angalia hiyo modem firmware yake ni version ngapi then upgrade na higher version itakuwa unlocked
 
Shukrani sana kaka nimejaribu imekubali ..now natumia modem yangu hii mpya ya airtel mf 190 kwa kila line!!! Shanks for sharing dude!!
 

asante xana mkuu nimeunlock mordem 2 nw na zinapiga mzigo barabaraaa!!
 
mie nimetumia dc unlocker 2 lkn nikiunlock inanambia erro connecting to server
error code 62
unlock failed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…