me natumia huAwei Ec 122 nilipiga procedures zote bt nilipoweka chip nyingine imegoma naomba mautundu.
Hiyo ni modem ya cdma maybe ushaiunlock ila hujui maana tanzania hatuna line za cdma zaidi ya zantel zile line zinazouzwa shilingi elfu 10
Modem za kawaida na line zetu za kawaida ni gsm so usijisumbue mkuu
yap nilisha unlock kwa kutumia huawei firmware na nika update bt tatizo ninapoweka chip tofauti na ya zantel...na pia hata ya Zantel inagoma kuconnect. naomba msaada mkuu.
Thnx mkuu ngoja nijaribu nitaleta feedback.
kama kuna mwenye link ya kudownload hiyo dccrap atuwekee.mana yangu niliyodownload nahisi ni new version ukitaka ku-unlock inahitaji credit au uweke user name na password.
Mazee Me na2mia HUAWEI E153 naomba maTechnical ni Unlock fasta.
Hiyo ni modem ya cdma maybe ushaiunlock ila hujui maana tanzania hatuna line za cdma zaidi ya zantel zile line zinazouzwa shilingi elfu 10
Modem za kawaida na line zetu za kawaida ni gsm so usijisumbue mkuu
How to unlock ZTE MF190
You have to use some software to unlock ZTE MF190 dongle.
Download software to unlock ZTE dongle click here
i. First of all, if you use some memory card, remove it. remove sim card and put SIM card what you want to unlock.(it will display invalid sim)
ii.Plug your modem in to your computer,sometime connection manager will display,close it.
iii. Unzip what you download and open dccrap.exe
iv. First select the manufacture as ZTE datacards ( No: 1)
v. Select the model as Auto detect (recommended) (No : 2 ) If you know the model and
which com port you use.u can do that way also
vi. Click find button (No: 3) . after your modem model will display below box
vii. After detect modem click unlock button (No: 4 )
Cheers you are done. After few seconds modem will unlock restart your computer and use
your modem.This connection manager also working for this.
But if you want to use ZTE connection manager click below link to download.
click here to download.
Kwangu imekubali inapiga mzigo vibaya sana,,kama vipi wakuu jaribuni alafu tupeane ripoti
Hv mkuu TTCL sio Cdma?
Jamaa si katoa link? Then software inaitwa dc unlocker hio dccrap ni cracked yake