unlock huawei ascend

Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx

Hi unaweza kwa urahisi kufungua kupaa yako huawei y200 na y300 kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobileunlocksolutions.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua simu yako.
 
Inawezekana haina shida kabisa…kaama bado hujaunlock ni pm…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…