eti kaka hiyo y200 tigo wanauza bei gan?
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx
Wakuu kuna hizi simu zinazouzwa na Tigo, huawei ascend y200 na y300, zinatumia line moja tu ya tigo, je kuna maujanja gani ya kuziunlock ili ziwe zinatumia line zote?? thanx
Mi mwenyewe naitumia ila tigo wanaboa kwenye vifurushi vyao
Nunua cha elf 15 unlimited kwa mwz.
Hakuna cha " unlimited" wala nini, mi nanunua KABANG elfu kumi kwa wiki wanasema unlimited internet kumbe ni kubrowse tu na si vingine, wanakupa GB1 tu ya kustream au kudownload.
Ukijaribu kuzi-unlock tu imekula kwako.
Hee kwanini tena kaka??
inawezekana,kuna jamaa pale kariokoo wanafanya hizo mambo,mi walinifanyia kwa 15.
170k ndo sh ngp kibongo bongo??asante
<br />By M.E.M.A<br />
Nunua cha elf 15 unlimited kwa mwz.
<br />
Hakuna cha " unlimited" wala nini, mi nanunua KABANG elfu kumi kwa wiki wanasema unlimited internet kumbe ni kubrowse tu na si vingine, wanakupa GB1 tu ya kustream au kudownload.
mkuu sidhani kama ni kweli mimi nnatumia kabang, nnaitumi kwenye simu, pamoja na wareless kwenye pc na tablet
wanaitwaje?? Naweza kupata mawasiliano yao? Ni garantiii lakini au magumashi??
Acha uongo mkuuuu mie nime-unlock ya kwangu na haina taab yoyote na-enjoy positive economies of scaleUkijaribu kuzi-unlock tu imekula kwako.