Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
hapa nilipo japo napata 3g ila speed ya basi letu la zamani ndogo sana. Tunnel guru upande wa mdebwedo CDMA speed ni nzuri ila kila baada ya dk 10 injidisconnect..........hammna basi jipya mkuu?
Tatizo mabasi ya zamani ni mawili sijui unakusudia lile la Goti?
Kama ndo hilo emu jaribu kuunga kifurushi chao cha usiku uone wamebadilika na hakikisha ume set WCDMA only
Ni saa sita na dk.39 ninapoandika hapa, asante mkuu Njunwa Wamavoko, pamoja na uhafifu wa network hapa (haipandi zaidi ya 300kbs nipo nabrowse jf huku nikiangalia bein sports......hahahahahaaaaa haijawahi kutokea huku salio langu likiwa 0shs.
Asante sana mkuu, ngoja niunganishe na wifi kwenye ka-TECNO kangu kwaajili ya whatsupp....txt, voice,.....!
TAHADHALI: unaonaje ukificha jina la mtandao husika hapo kwenye hizo picha hapa jf na kwenye blog yako?
Eh, najiuliza nikizima kuwasha inakuwaje....ku-connect?:shocked::rockon:
Niunge na mimi
Trick ipo Multi-SSH ambayo ni recomended pia ipo VPN zote zinaweza ku download Torrents.Mkuu Njunwa Wamavoko,
Moja ya sababu ambayo ilinifanye nisiipende Tunnel Guru ni pale nilipokuwa nalazimika kurudi tena na tena kwa service provider hapa JF kila nilipohitaji ku-download certain series! Kwamba, lazima nimwambie nahitaji Series X, kisha yeye ndo ana-create file (probably using his premium account) ndipo nami niweze ku-download!
What about this new product? Na kama na yenyewe ni lazima niwe narudi tena kwako ili u-create a file to download ( I hope umenielewa nini hasa namaanisha kwenye hili...), je kuna njia yoyote ya kuepukana na hilo, for instance having a premium account or else?
Nahitaji kuwa na vitu gani ili niunganishwe kwenye hii huduma?
Nihitaji mkuu nifanyaje
hii kitu ilikua jf store naona mod wamekiweka hapa.
Kwa wale wanaoitaji send me pm plz