Universl wireless bluetooth keyboard

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361

Pichani ni Iton Mini Bluetooth keyboard inayouzwa 40,000 tuu.
Inakuletea uwezo wa kucontrol kifaa chako chenye bluetooth ukiwa mbali hadi mita 10.
Keyboard hii ina features zifuatazo:
  • Ni nyepesi,uzito wake ni mdogo kuliko hata uzito wa smartphones mbalimbali.
  • Ni nyembamba,unaweza hata kuiweka mfukoni.
  • Inasupport aina mbalimbali ya vifaa vyenye bluetooth kama;
    • Simu(Android,Windows Phones,Nokia mobile zenye Symbian OS,Iphones)
    • Computer
    • PS3
    • Tablet(Apple,Samsung na nyinginezo)
    • PC(Operating system zote)
  • Ina rechargable battery(inakaa na charge masaa 60),hivyo waweza kuitumia ukiwa mahali popote.
    • inatumia standard micro usb cable kwenye kucharge(sawa na normal smartphones).
  • Inauwezo wa kufanya kazi hata mita 10 mbali na kifaa chako.
  • Ina functions karibu zote za standard keyboard.
  • Ina hotkeys za kucontrol media applications kama katika kupause,play music katika kifaa chako.
Ziada:
  • Keyboard hii itawafaa sana wacheza game za computer ambazo gamepad za kawaida hazikidhi mahitaji mfano games kama GTA san andreas,kwani haulazimiki tena kukaa karibu na PC yako.
  • Itafaa pia pale unapotumia pc yako kufanya Presentations kwenye projector,inakupa uwezo wa kuicontrol pc yako ukiwa mbali.
BEI NI 40,000 TUU!!..
View attachment 169508
Kwa anayehitaji aniPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…