University of DSM Computer center, Mbeya branch

bhakamba

Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
78
Reaction score
68
Wakuu naomba kujua taarifa mbalimbali za hii senta ya computer training.ubora wake kwa watu waliopita pale au kwa kusimuliwa
 
ubora ni kama CENTER zao zingine nchini,kwamaana Mitaala ni ile ile, kwa habari zaidi watembelee hapo mwanjelwa CENTURY PLAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…