B bhakamba Member Joined Oct 10, 2016 Posts 78 Reaction score 68 Dec 1, 2016 #1 Wakuu naomba kujua taarifa mbalimbali za hii senta ya computer training.ubora wake kwa watu waliopita pale au kwa kusimuliwa
Wakuu naomba kujua taarifa mbalimbali za hii senta ya computer training.ubora wake kwa watu waliopita pale au kwa kusimuliwa
lossoJR JF-Expert Member Joined Oct 11, 2012 Posts 2,711 Reaction score 2,387 Dec 7, 2016 #2 ubora ni kama CENTER zao zingine nchini,kwamaana Mitaala ni ile ile, kwa habari zaidi watembelee hapo mwanjelwa CENTURY PLAZA
ubora ni kama CENTER zao zingine nchini,kwamaana Mitaala ni ile ile, kwa habari zaidi watembelee hapo mwanjelwa CENTURY PLAZA