Ni ukweli usiopingika kuwa hapa tz hakuna chuo kizuri kwa science oriented courses than UD,lakini cha kushangaza hao wasomi tunaowategemea kila siku wako kwenye migomo,ni kweli wanadai haki sawa,lakini sasa inatosha,hiki chuo kimeanzishwa miaka mingi iliyopita,kina maprofessa waliobobea katika fields mbalimbali lakini cha ajabu ambacho kimenisukuma nianzishe thread hii ni kwamba hakuna ennovation zozote(visible)zaidi ya kutoa mainjinia wanaosubiri kuajiriwa na kutumwa,kwa ujumla inakera.We need changes.