University corner

kitukuuu

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
25
Reaction score
9
Habar ya week-end wanajf, Kuna siku nilipita mtandaoni, nikakutana na habar ya kuanzishwa Kwa shindano la ujasiria Mali vyuon. Naomba mwenye taarifa kamili anipe ufafanuzi tafadhar !
 
Ni muhimu sana kuwa na program za namna hii. Ila zinapaswa kuwa na dhamira nzuri na sio ubabaishaji ama kutafuta mawazo ya biashara kupitia vijana hawa.

Nadhani ni muhimu kuwa na mkataba wenye kuonesha umiliki wa wazo la mtu na kuzuia mwingine yeyote kulitumia wazo hilo bila idhini ya mmiliki wake, kwahiyo patent right inahusika sana hapo.
 
Nilivyosoma kichwa cha habari nilifikiri lile kundi la zamani la bongo flavour (wazee wa tishet na jinz)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…